Anayejua ada za sekondari hizi

mwitasa

Senior Member
Dec 28, 2013
199
476
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa matokeo ya kidato cha nne tangu 2015 hadi 2021. Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa katika shule za binafsi sekondari zifuatazo zinafanya vizuri sana hazikosi ndani ya 10 bora kitaifa.

Anayejua ada zake na utaratibu wa kujiunga huko anijulishe nianze maandalizi mapema ya kuwapeleka wanangu huko mwakani 2023, shule nimezipakanga kulingana na ubora wake ktk kipindi tajwa kulingana na utafiti na uchaguzi wangu .

1. St. Francis girls (Mbeya)
2. Kemebos mix (Kagera)
3. Canossa girls (Dsm)
4. Bethel sabs girls (Iringa)
5. Marian girls (pwani)
6. Anwarite girls(kilimanjaro)
7. Precious blood girls (Dsm)
8. Bright future girls (Dsm)
9. St. Aloysius girls (pwani)
10. Ahmes (pwani)
12. St. Augustine tagaste(Dsm)
 
Hivi St Marys haipo
 
andaa mpunga wa kutosha hapo, AROUND 2M+ NA KUENDELEA HUKO
 
Number 8
Bright Future Girls
Milioni 5 kasoro
 
Back
Top Bottom