mkuu utafiti wako haujakamilika na mie nafanya kazi mgodini jina kaputi hakuna expert ambaye analipwa million 5 ni kuanzia dola elfu 8 hadi dola elf hamsini hizo dola elf nane ni kima cha chini cha expert.
huyu ni mnafiki tu hana jipya unataka kusema yeye haijui sikonge kwani ana muda mrefu kwenye system,na ukichangia na hii biashara ya pembe za ndovu anaifanye yeye tunazidi kuwa maskini ambao unafanywa na yeye na wenzake.bwana kimsingi hawa ccm wamechokwa.
anachoongea huyo mdada siyo sahihi kabisa,na hakustahili kuongea na media,kama siye tunaokaa huku madongo kuinama ndio kabisa ndani ya saa 24hrs tunaupata umeme kwa masaa 12hrs tuu.
mamaaaaaa'"''' sasa uroda tutapata vipi tena maskini wa mungu,serikali ya mtaa angalieni hilo jamani kama ni hivyo basi na wale wa ohio nao waondoke msifanye ubaguzi jamani,chondechonde wahusika angalieni hili kwa upande wa pili
hapa kuna utata wale walioibua haya na madudu alafu wakakaa kimya ndio wa kwanza kuwajibishwa kama wanajulikama,
please "mazingira magumu kama na majibu yake ni lazima yawe magumu pia bila tunaumizana sisi wenyewe,
kwa upande wngu mie nampa big up mwakiyembe,pomoja na matatizo aliyapata bado ni mzima sana na ni mbunifu mzuri.
ANGALIZO;
lengo lako ni kupnguza msongamano wa magari dsm,ila nashauri pindi ile project ya magari yanayoenda kasi ukiisha ni vizuri aone tena umuhimu wa kuamisha ubungo bus...
hivi huyu lowasa mbona mnamjadili sana kwani yeye kama nani nchi hii?kwanza yeye na samweli sita wote ni wanafiki tuu wala wana jf msipoteze muda wenu kuwajadili hawa,juzi nikasikia alikuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la akina mama wa moravian nzg alafu akapata hudhuru eti akamwambia dc...
kabla ya kufikiria kununua umeme ethiopia tupeni kwanza mikakati mliyonayo kuhusu gas yetu hapa nchini sio mnaturudisha kule kwa yule shetani richmond bado hajasahau hilo mjue.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.