Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 59
- Thread starter
- #41
Bado wanaendelea kutafuta bila mafaniko sijui itakuwaje kama hapatikani. Je wataendelea na ulipuaji kesho?
Mimi sina mood tena ya kazi!
Bado wanaendelea kutafuta bila mafaniko sijui itakuwaje kama hapatikani. Je wataendelea na ulipuaji kesho?
VP kuhusu hiyo ceaser aliyoondoka nayo haijaonekana bado tuanzie hapo niijuavyo no mashine kubwa hats ingedumbukia kwenye u/g sump lazima ingeonekana
Ceasar ilionekana Super Ramp! inasemekana aliiacha super ramp then haikujulikana alitokomea wapi
Labda jamaa aliamua kujitoa uhai makusudi nijuavyo mambo ya u/g mining operations operator wa ceaser ni lazima awe well oriented na mazingira ya underground ukizingatia construction wanazunguka maeneo yote
mkuu utafiti wako haujakamilika na mie nafanya kazi mgodini jina kaputi hakuna expert ambaye analipwa million 5 ni kuanzia dola elfu 8 hadi dola elf hamsini hizo dola elf nane ni kima cha chini cha expert.kazi ngumu mshahara mdogo ata laki 8 haifiki jaman,alaf ni underground angalau ata buzwagi iko open pit.wakati expert ambaye mponae kitengo kimoja na afanyi kaz kama wewe anakula zaidi ya mil 5,na risky kibao serikali ipo kimya wakati watanzania wananyonywa.
Kweli kabisa...zoezi la kumpata limeshindikana ..wanadai wasubiri harufu ya maiti iliyooza ndo wabaini yuko wapi
Mimi sina mood tena ya kazi!
Ceasar ilionekana Super Ramp! inasemekana aliiacha super ramp then haikujulikana alitokomea wapi
Isije ikawa katoroka pia
So sad . Hatuna feed back mpaka sasa so tunasubiri update labda leo jioni. Ingawaje tangu mwanzo wa tukio hakuna taarifa Rasimi kutoka uongozo mkuu sijajua kwa nini maana hii ni mpya.
ajali za migodini zimekuwa nyingi sana siku hizi yaani Mungu atunusuru kwa ajali hizi.
Atoroke apitie wapi wakati system inasoma kuwa tangu aingie hajatoka...na nguo zake zipo kwenye kabati lake mine dry! picha zinaonesha wakat wa kuingia tu wakati wa kutoka hazijaonesha!
Inasikitisha sana, Jamaa alikuwa classmate wangu O'level. Natumaini atapatikana akiwa hai..
Hatari sana...ni bora kufungua Mpesa kuliko kufanya kazi mgodini