Spika Anna Makinda kila kukicha safari

Naona huyu atakuwa spika anayesafiri kuliko wote Africa

Sijawahi kuskia anafanya open workshop ya mambo ya uraia Rufiji au Ukerewe yeye kila kukicha yuko ulaya na nchi zilizoendelea

naona safari siku hizi ndio zimekuwa style ya kazi Tanzania. Kila kukicha wanasiasa wako kwenye airport lounges.

Lakini cha ajabu hakutuambiwi faida ya hizi safari

na cha ajabu hakuna mwanasiasa hata mmoja nayelalamika kuwa safari zimezidi.
Baba yake yuko marekani anaendeshwa na farasi,yeye asubiri nn?
 
Hatari ya nchi isiyokuwa na value systems in place. Waandishi maadili 0; wanaogopa hata kuuliza maswali magumu wasije wakakosa bahasha! Viongozi vichwa mbovu: wanafanya wanayoona mema machoni pao wenyewe! Wananchi vichwa maji: kila uchaguzi ukija hudanganywa na ahadi zilezile na kuwachagua watu walewale kwa kisingizio cha kutunza amani!

Mungu tusaidie kwani Tanzania haijui itokako wala iendako!
 
Subiri nawe uwe Spika tuone mwenendo wako katika kuitikia mialiko. Sidhani kwamba huyu mama ziara zake zimezidi kiasi cha kusemwa hapa mbona ni kawaida sana.

Na chini ya Ofisi ya Bunge kuna watendaji wengi sana wanaoweza kufanya kazi kama hiyo unayopendekeza kwa kushirikiana na walimu wa elimu ya uraia nchini, vyama vya siasa, msajiri wa vyama vya siasa, NGO's n.k
 
Ni tatizo sana kuongozwa na viongozi ambao wote wanajua wanaondoka/kustaafu madaraka 2015: Wakati huu kwao ni mavuno tu!b Nadhani JK hamkamati Anne Makinda kwa safari. Hivi ni lazima kila safari yeye Naibu si yupo; Mbona Kenya wana-utaratibu mzuri sana? Utaona mara nyingi mfano Rais anawakilishwa na Waziri Mkuu Raila, au Makamu wa Rais Musyoka, au Mh. Mudavati au, Mh. Uhuru Kenyata, haitokei kuona kiongozi mmoja muda wote anabadilisha ndege na safari nje ya nchi... Poor Tanzania.

Hizi safari za mara kwa mara za JK zina maana kutokana na hali yake ya afya, au mnataka afie pale magogoni??
 
Back
Top Bottom