mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Kama ni kweli,Badra Masoud kataa kufanywa commedian!Sisi hatutaki kucheka wakati huu,tunamachungu mengi juu ya nchi yetu.
yakhe, si walisema gesi ya kule ntwalaaa, itazalisha umeme mwingineeee?
i smell a raw deal here..wakizibiwa mrija mmoja wa wizi wanatoboa mwingine..another richmond in the making,.mapacha watatu wanatafuta hela ya kustaafu
nipashe walitoa hii habari nashangaa wanaomwita mtoa mada ni mwongo
katika hatua nyingine, badra alisema tanzania inafanya mazungumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo, "njia kuu za kusafirisha umeme zitakapounganishwa na kukamilika, nchi yetu itaweza kununua umeme unaozalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchi kama ethiopia," alisema na kuongeza: "ethiopia wanazalisha nishati ya umeme megawati 10,000 na kubakiwa na ziada ya megawati 8,000."
alikuwa akizungumzia mkutano wa mawaziri wa nishati wa nchi za afrika mashariki na kati kuhusu mtandao wa usambazaji wa nishati hiyo unaojulikana kama eastern africa power pool (eapp) unaozihusisha nchi 11 za tanzania, kenya, uganda, rwanda, burundi, jamhuri ya kidemokrasia ya kongo (drc), djibout, ethiopia, libya, jamhuri ya sudan na misri.
source: tanesco: Mameneja 29 wamesimamishwa kazi; hakuna mgawo; mazungumzo ya kununua umeme kutoka ethiopia yanaendelea - wavuti.com
nipashe na waziri wa nishati ipi ni reliable source ya information kama hii,waziri alilizungumza jana star tv na alisema hakuna mpango huu bali nia ni kuzalisha umeme wa gas,makaa ya mawe,jua na upepo
ndo hivyo tena mkuu, mzee alitumia miaka kama 25 hivi kuelimisha Watz ambapo ilikuwa kazi ngumu sana na wengine wametumia nguvu kidogo sana kulipeleka taifa katika ujinga.Ama kweli ukiona elimu ni ghali basi jaribu ujinga!
meneja wa mawasiliano wa tanesco badra masoud amesema serikali yetu inafanya mazugumzo na serikali ya ethiopia ili kuangalia uwezekano wa kununua umeme kutoka nchi hiyo. umeme wao unazalishwa kwa njia ya maji na unaouzwa kwa bei nafuu moja kwa moja kutoka nchini ethiopia. ethiopia wanazalisha nishati ya umeme wa megawati 10000 na kubakiwa na ziada megawati 8000. nilivyosoma hii habari nilicheka na kukasirika mda mmoja.
Tanzania tuna mito na vyanzo vingine vingi zaidi ya ethiopia. sasa inakuaje wenyewe wanaweza kua na megawati 10000 alafu sisi tushindwe? hii ni haibu kwa nchi yetu

Jamani huu ni ujinga gani Tanzania imegundua gasi inayoweza kutosheleza mahitaji ya UK,France na Germny kwa pamoja sas iweje tusiitumie gasi yetu kufua umeme wa bei rahisi ????????.
dili la richmond,karamagi alitangaza kama alivyotangaza huyo muhongo wako!!!!!keep sleeping,you can't trust this administration you novice!si kweli na hakuna kitu kama hiki,hivi nyie watu hata taarifa za habari hua hamtazami?mbona Prof muhongo alitoa ufafanuzi mzuri tu jana star tv na wala sio huyo badra masoud,kwlei nchi ina watu legelege na wasio critical ndo maana mnaenda na upepo ivi ivi