soma vizuri hayo uliyoandika ndipo utakapoona uijui elimu ya waislamu juu ya majini usitake kueleza kitu ambacho huna elimu nacho, waachie wenyewe waislamu wajieleze na nawe jielezee kwa upande wako ili sote tupate faida kwa swali hili zuri.
Nilikuwa nasikia tu kwa wengine leo nimehakikisha kuwa hawa Voda kweli ni wezi. mimi ni mteja ninayetumia mtandao wa voda namba 0762749205,jana usiku saa nne nilinunua solio la sh.1000 kupitia m-pesa na kupata sms "BR04DY593 Imethibitishwa umenunua Tsh1,000 ya muda wa maongezi saa 10:02 PM...
Nilikuwa nasikia tu kwa wengine leo nimehakikisha kuwa hawa Voda kweli ni wezi. mimi ni mteja ninayetumia mtandao wa voda namba 0762749205,jana usiku saa nne nilinunua solio la sh.1000 kupitia m-pesa na kupata sms "BR04DY593 Imethibitishwa umenunua Tsh1,000 ya muda wa maongezi saa 10:02 PM...
usikurupuke kuandika mada kabla ya ya kuelewa ni nini chanzo cha vurugu zanzibar, tatizo la zanzibar sio dini kwani wao asilimia 99 ni waislamu!, tatizo wao hawautaki muungano ambao wao wanauona hauna faida kwao
someni historia ya nchi hizo mbili kabla hamjaanza kulalama. busara zaidi inahitajika hapa
Heglig (also spelled Heglieg) is a disputed small town in South Kordofan state in Sudan, claimed by South Sudan as a part of Warrap. The area was contested during the Sudanese Civil War. In mid-April...
naomba ufafanue hapo kwenye rangi nyekundu. wapi,lini,na kwa jinsi gani ulimfikishia kikwete tuhuma hizo na akakupuuza? na ikiwezekana naomba utujuzu tuhuma hizo kwa kirefu ili na tujuuwe uwozo wa CCM kupitia Chiligati
hoja hiyo ya mwandishi wa mwanahalisi imeshajibiwa katika radio imani na pia katika gazeti la kiislamu la al-nuul ya kwamba mama huyo bado muislamu na mumewe ni muislamu na hajawahi kuwa mkristo, kubenea alipotosha ukweli kwa kutaka kuwasaidia CHADEMA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.