Omar al-Bashir atangaza ushindi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Omar al-Bashir atangaza ushindi!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Apr 20, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  "Wajaamaa wameufyata na wamekimbia la sivyo wangekiona cha moto" - asema Omar al-Bashir

  [​IMG]
  Sudanese President Omar al-Bashir waves to the crowd gathering outside the Defence Ministry in the capital Khartoum on April 20, 2012 to celebrate retaking the oil town of Heglig from South Sudanese forces.
  [​IMG]
  Sudan said Friday its forces drove South Sudanese troops from a contested oil town near the countries' ill-defined border
  [​IMG]
  People cheer during President Omar al-Bashir's speech in Khartoum, Sudan
  [​IMG]
   
 2. P

  Pweza Dume Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  huu ni uonevu wa hali ya juu aliofanya huyu jamaa....ila haki ya mtu haipotei, natumaini hiyo sehemu itarudishwa kwa south Sudan
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  MWAFRICA MWENZETU NAONEWA NA MWARABU NA NCHI MWANANCHAMA WA THE RAB LEAGUE.iNKEKUWA NI MPALESTINA KAFANYIWA HIVYO tANZANIA INGEKUWA YA KWANZA KULALAMIKA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUTOA LAANA. Leo hii kafanyiwa mwafrica mwenzetu kule South- sudan, Tanzania imeuchuna kama vile haijui kilichotokea.
   
 4. K

  Kicheche Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  someni historia ya nchi hizo mbili kabla hamjaanza kulalama. busara zaidi inahitajika hapa


  Heglig (also spelled Heglieg) is a disputed small town in South Kordofan state in Sudan, claimed by South Sudan as a part of Warrap. The area was contested during the Sudanese Civil War. In mid-April 2012, the South Sudanese army captured the Heglig oil field from Sudan.Heglig is situated within the Muglad Basin, a rift basin which contains much of Sudan's proven oil reserves. The Heglig oil field was first developed in 1996 by Arakis Energy (now part of Talisman Energy). Today it is operated by the Greater Nile Petroleum Operating Company.[SUP][3][/SUP] Production at Heglig is reported to have peaked in 2006 and is now in decline. The Heglig oil field is connected to Khartoum and Port Sudan via the Greater Nile Oil Pipeline.In July 2009, the international organization, Permanent Court of Arbitration (PCA) redefined the boundaries of Abyei, a county that lies in between Southern Sudan and Northern Sudan. The decision placed the Heglig and Bamboo oilfields in Northern Sudan district of South Kurdufan but the decision though did not specify oil sharing. Based on the decision, the Government of Sudan announced they would not share any oil revenue with the Government of Southern Sudan, as the (PCA) established that Heglig was a part of the North.
  The area saw fighting during the 2012 South Sudan-Sudan border conflict.
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,768
  Likes Received: 4,982
  Trophy Points: 280
  ..South Sudan wamevunja sheria kwa kuvamia eneo hilo.

  ..hata Katibu Mkuu wa UN alishawaambia waondoke mara moja ktk eneo hilo.

  ..pamoja na hayo, South Sudan wamedhulumiwa sana utajiri wao wa mafuta.

  ..hawakustahili kuwa wanataabia ktk umasikini kiasi hicho wakati 80% ya mafuta ya iko ktk eneo lao.
   
 6. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wacha upumbavu wewe. Yaani huu ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu ndio unaokufanya hata usijue uafrika ni nini au waAfrika ni nani?!!! Hebu chukua muda uutakao, halafu tuandikie humu jamvini...
  1. Tuelezee ni nini uAfrika, halafu tuonyeshe ...
  2. Kwa vipi iwe kwamba Sudan ya Kusini ni Afrika (na watu wake ni waAfrica), na kwa vipi iwe kwamba
  3. Sudan ya Kaskazini sio Africa(na watu wake kuwa sio waAfrika)
  4. Vipi wapemba, waComoro, waMadagascar, waMafya, waShelisheli? Pumbavu wahed!!!

  Yes, nakuuita pumbavu wahed, kwa maana wewe na walio na upumbavu kama wewe hamjali roho za watu kupotea bure, mnachojali ni ushabiki wa kipumbavu tu. Wakati tatizo linahitaji kutatuliwa, wewe/nyinyi mnazidi kulimiminia mafuta kwa uwongo na ushabili wa kipumbavu. Hivi huu ndio uafrika huu. Waafrika tulipigana kujikomboa kwa kila kitu ikiwemo kiakili. Akili ni kuangalia mambo kwa upana, urefu na ukweli wake, sio ushabiki wa kipumbavu bila ya kujali kwamba roho za watu (waafrika) zitapotea. Huu ni upumbavu, utumwa wa kiakili, katu sio uAfrika.

  Akili ni kuangalia hivi
  1. Nini chanzo cha mgogoro.
  2. Nani kavuka mpaka kuchokoza mwenzake
  3. Suluhisha kiukweli

  Je, utaka kusema ndio hujue wewe kwamba Sudan ya Kusini kavuka mpaka kuichokoza Sudan ya Kaskazini au ndio chuki zako tu na uislamu (muongo sio uArabu) ndio zinakuzingua. Huna mapenzi yeyote na Africk wewe, kibaraka wa kiakili
   
 7. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli wapumbafu ni wengi hapa jf.wasudani wote ni waafrica, hapa wakusini wachokozi pia usihukumu kabla ya kujua tatizo
   
 8. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Waafrika wenzetu au WAKIRISTO wenzako? tazama hizo picha za juu wasudan weusiiiiiiii kuliko hata mnyachusa wa tukuyu? sasa kumtetea mwafrika gani hapa? nadhani unawashwa na UDINI ....Hebu tafuta ukweli wa hii vita mpya..nani alivamia sehemu ya nchi ya mwenzake? ni wazi sudan kusini imechukua eneo la kaskazini..na ndio maana hata Obama juu ya chuki yake kwa AL Bashir aliwambia Kusini waondoke kuepusha shari....hawa kusini ni msiba mkubwa kwa EAC kuwaingiza hawa ni matatizo matupu.kama ulitaka statement ya serikali basi sana ingewambia south waache kufanya fujo...walitaka uhuru wakakubaliana na south wakapewa nchi yao kwa mipaka yao inayotambuliwa wafrika sio wakristo pekee usilete mambo 47 hapa...
   
 9. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu vipi TENA!
   
 10. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo sudan hakuna mwarabu bali tatizo ni kulishwa kasumba za kiarabu sawa na waswahili wenzetu wanaodai mambo ya ajabu ajabu kwa kisingizio cha dini. Ukitaka kujua kuwa sudan hakuna mwarabu nenda Cairo uone wanavyowaita beheee au abd yaani watumwa. Sudan ni nchi ya ajabu Afrika ambapo watu wanajikana. Bashir ni mmakonde wa kawaida aliyevutishwa bangi za kiarabu.
   
 11. k

  kamili JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Ni south Sudan ndio iliyoivamia Noth Sudan na kuteka vituo vya mafuta vya Heglig, na sio kinyume chake. Tunafahamu haki za S. Sudan na lazima kuzitetea but wakianza kuvamia isiyo haki yao lazima waonywe maana watakuwa kama N. sudan.

  [​IMG]
   
 12. k

  kamili JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Ni south Sudan ndio iliyoivamia Noth Sudan na kuteka vituo vya mafuta vya Heglig, na sio kinyume chake. Tunafahamu haki za S. Sudan na lazima kuzitetea but wakianza kuvamia isiyo haki yao lazima waonywe maana watakuwa kama N. sudan.

  source; http://www.bbc.co.uk/nol/shared/spl/hi/world/10/sudan/img/sud_oil.gif
   
Loading...