Jamani nifanye nini "KIKWETE HASIKII!" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nifanye nini "KIKWETE HASIKII!"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Nov 28, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Juzi nimelalamika hapa kuhusu wakulima kukopwa mazao kwa lazima wakati
  Fedha za kuwalipa zipo. Tushamueleza kuwa Mkuchika anayezuia watu kuuza
  mazao yao cash wanashirikiana na kuna faida inaenda kwake.

  Leo nina hasira sana kwani nimekula wali mkavu bila mboga, ninadai kule
  kwenye chama cha ushirika Tsh 18,500,000.

  Hivi nini hasa kifanyike ili kikwete achukue maamuzi na ajue kuwa anatutesa?

  Hivi kwanini serikali inakopa kwa nguvu halafu haitoi malipo kwa RIBA wakati sisi
  tukikopa kwenye taasisi zao ni lazima tulipe RIBA!

  Jamani nisaidieni tumfanye nini huyu Kikwete maana hasikii kabisa vilio vya wanyonge!
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,114
  Trophy Points: 280
  Andamana hadi ikulu
   
 3. K

  Kicheche Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  naomba ufafanue hapo kwenye rangi nyekundu. wapi,lini,na kwa jinsi gani ulimfikishia kikwete tuhuma hizo na akakupuuza? na ikiwezekana naomba utujuzu tuhuma hizo kwa kirefu ili na tujuuwe uwozo wa CCM kupitia Chiligati
   
 4. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Ni hapa hapa jukwaani tena kwa ujumbe wa wazi ambao lazima watu wake wameuona
  na kumfikishia. Hapo kwenye bluu sijamtaja huyo mtu mi namzungumzia waziri wa TAMISEMI
  Ndugu - G. Mkuchika ambaye amekuwa mstari wa mbele kuzuia umoja wa wakulima ambao
  wamejianzishia na kulazimisha mfumo ambao unatesa watu. Huyu mambo yake yamekuwa
  ya ubabe ubabe tu - Si unakumbuka hata waandishi waligoma kutoa habari zake kwa miezi 3
  mfululizo baada ya kuisimamisha MWANAHALISI?.
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Siku hizi wanataka sifa sana, utasikia turikuwa tunapambana na Riarifu
  kumbe Mpwao na mipango ya kuinusuru nchi..........:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::juggle:

   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  pole mkuu GAZETI! Hata mimi najiuliza kifanyike nini, halafu utakuta watu wanakuja na kusema ati tuna rais msikivu...
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Unajua mkuu sio kweli kwamba hawaoni malalamiko yetu humu wanaona sana
  lakini wanapuuza. Unafikiri kwanini ZE UTAMU ilifungiwa? waliona.......... lakini haya
  wanajifanya hawayaoni. Eti mwezi mmoja sasa umepita toka mtu akopwe mazao
  yake........ Yaani naapa kwa Mungu wangu serikali ya kikwete ndo inanikalisha na
  njaa bila sababu za msingi.
   
 8. Ahmad Mussa

  Ahmad Mussa Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako maana ni wewe peke yako
  ndo naona unatupigania hapa jukwaani. Kweli tunaumia hata mimi ninadai
  4,356,000 Umetimia mwezi mmoja na siku kumi sasa sijalipwa chochote
  na hata wakileta hizo fedha wanaleta za watu watatu zinaisha halafu wanakaa
  mwezi tena. Yaani ni hatari.
   
 9. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Mi naomba Mungu waangukiwe na lile jengo lao kule CHIMWAGA liwafunike
  wote ili tuanze upya! Yaani nitafurahi hiyo siku.
   
 10. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Duh, kaka Punguza hasira kwani we huna ndugu kule mpaka
  unatamani Jengo liwafunike?
   
 11. Mcharuko

  Mcharuko Senior Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Duh una balaa wewe mpaka umenitoa mafichoni, Mungu anasema samehe saba mara sabini usiombe dua mbaya kiasi hicho labda tuombe tu waondoke madarakani kwa amani.
   
 12. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Mi nimetumia kanuni za MUNGU we umesahau kuwa aliangamiza kizazi cha NUHU kilichokuwa
  nje ya safina? Kama Mungu atawaangamiza wote kule CHIMWAGA tutaanza upya kwa furaha
  kwani kitakuwa kizazi fresh.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Our presidaa is a 'social problem', so mkuu u are not alone in your suffering, infact we are sailing together as a nation
   
 14. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jengo la CHIMWAGA, sasa hivi kuna lecture inaendelea kwa wanafunzi wa UDOM
  kwani jengo hili kwa sasa ni la Chuo Kikuu cha Dodoma.
  Mkuu unamaanisha liwaangukie hawa wanafunzi au?
   
 15. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Dah poleni, mi nakusudia siku ya mkutano mkuu wa CCM maana
  wote wanakusanyika hapo. kama siku hiyo kutakuwa na hao nafunzi
  na mkutano unaendelea basi angalau liwafunike kule waliko wao tu wanafunzi
  wakishaondoka ndo lianguke lote!
   
 16. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siku hizi wanafanyia Kizota na kwingine.
  Chimwaga hawafanyii tena.
   
 17. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Ok nimekuelewa hukohuko KIZOTA ndo kuzuri maana wako peke yao
  unajua siku nyingi sijafuatilia vikao vyao maana naona kuna mipashomipasho
  badala ya kujadili maendeleo wao ni ushindi wa kishindo, wapinzani kwishaaa,
  safari hii watakoma....... Muda mwingi ukitumiwa na Komba, ngoma, ngonjera n.k
   
 18. M

  Maengo JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkulu hawezi kusikiliza malalamiko yenu kwa sasa kwa sababu yuko bize anajiandaa na uhamisho wake.
   
 19. MANI

  MANI Platinum Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Kuelekea wapi mkuu?
   
Loading...