Wa Israil wabadilishana na Wa Palaestina Wafungwa Mwi Israil Mmoja WaPalestin 1027 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa Israil wabadilishana na Wa Palaestina Wafungwa Mwi Israil Mmoja WaPalestin 1027

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Oct 12, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280

  • Israeli Soldier Gilad Shalit Held by Hamas to Be Released
  Israeli Soldier Gilad Shalit Held by Hamas to Be Released (ABC News)[​IMG]


  Israeli soldier Gilad Shalit is shown in a photo provided July 10, 2007.
  Israel and Hamas said tonight that a deal had been struck to exchange Israeli soldier Gilad Shalit

  for more than 1,000 Palestinian prisoners held by Israel. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said Shalit, held by Hamas in the Gaza Strip for more than five years, would be home in the "next few days."

  Hamas leader Khaled Meshaal trumpeted the "national achievement" of exchanging 1,027 Palestinians prisoners "for just one Israeli prisoner." He said the release of Palestinian prisoners would take place in two stages, with 450 to be released in the coming days and the next 550 within two months. Among the prisoners to be released are 27 women and 315 men serving life sentences.
  It is not clear when or where Shalit would be released.

  Netanyahu convened a special meeting of his full cabinet tonight to discuss and vote on the swap, saying at the beginning of the meeting, "if all goes as planned, Gilad will be back in Israel in the next few days with his family and his people."

  Netanyahu said it was imperative to strike a deal now, "when storms are sweeping the Middle East." "I do not know if in the near future we would have been able to reach a better deal or any deal at all," he continued. "It is very possible that this window of opportunity, that opened because of the circumstances, would close indefinitely and we would never have been able to bring Gilad home at all."

  There was celebration both at the Shalit tent vigil in Jerusalem as well as in Hamas-controlled Gaza where guns were fired in the air.
  "Those who will be released are heroes who will come back to freedom and struggle against occupation," said Meshaal, speaking from Syria's capital Damsacus where he is based. He added that he was disappointed to not be able to announce the release of all Palestinians from Israeli jails.

  Shalit was captured by Hamas militants in a cross border raid in June 2006. The young sergeant was 19 at the time. In the past five years, he has been allowed no visitors and was last seen in a video clip in October 2009.
  Egypt and a German negotiator had been mediating discussions between the two sides and previous close deals had fallen apart. One Israeli official told ABC News that Hamas is now currying favor with Egypt's new government because they want to move their leadership from Syria –
  in the throes of a bloody uprising in which thousands of Sunni Muslims have died – to Egypt.
  Shalit's face can be found on billboards, bumper stickers and flags across Israel. Every up and down in the negotiations for his release is a

  headline in the Israeli media and every Israeli politician must prove how dedicated he or she is to releasing Shalit. In a country where military service is mandatory, Shalit's plight touched many here. However, the release of so many prisoners for Shalit is controversial given the many

  Israeli deaths they are convicted of. No names have been made official but protests broke out in Israel about some of the rumored names.
  "It is a very difficult decision," said Netanyahu. "I feel for the families of victims of terror, I appreciate their suffering and distress, I am one of them. But leadership must be examined at moments such as this, being able to make difficult, but right, decisions."

  [​IMG]Gilad Shalit visits an army museum in this family photo shown by Elana Levi-Zrihan.

  Source:Israeli Soldier Gilad Shalit Held by Hamas to Be Released - Yahoo!

  B
  ado itabidi Wa Israil wawaachie Wafungwa wote Wa Kipalestina waliowakamata
   
 2. M

  Mwera JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni hatua nzuri ya kupongezwa kwa wapenda amani kote duniani, hao wafungwa wanateseka jela bila sababu yoyote,sanasana ni sababu ya siasa za visasi na chuki tu,hongera kwa wapalestina na wayahudi kwa hatua hii walioichukua.
   
 3. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Uamuzi wa Netanyau Unafanana fanana na Ule Wa Jk kuwaachia huru polisi wawili waliomuua Kombe na serikali kuilipa fidia familia ya kombe million 200
   
 4. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Kwa hili nimeamini Askari mmoja wa Israel ni wa dhamani sana na udhamani wake ni zaid ya watu Elfu moja Leo hiii askari wa Tanzania walioipigania nchi yao huko Msumbiji na Uganda wako hoi bin taabani na wanajifia tu utafikiri hawajaifanyia kitu nchi yao.
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hii sasa ni kufruh, yaani thamani ya Israel 1 ni Palestine 1027? MziziMkavu unaionaje hii namba, does it make sense?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Ni kweli unayo sema lakini kutokana na hao waIsrail ni wachache kuliko hao wapalestina sizani kama hao waIsrail waliopo hapo Israil wanazidi zaidi ya Watu Millioni 7 ukilinganisha na hao Wapalestina na waarabu wote ndio wako wengi ni sawa sawa tu Mwi-Israil mmoja sawa na Wapalestina 1000. Kwa sababu akifa mu Israil mmoja inakuwa kwao hao WaIsrail pigo kubwa wamepata Wapalestina wanazaliana kama kuku anavyotaga mayai.
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Usifanananishe Uamuzi wa Netanyau na hapo kwetu uamuzi wa JK ni vitu viwili vipo tofauti tu mkuu usituchanganye kwetu hii topic yetu . Mambo ya Ngoswe wewe Muachie Ngoswe tu.
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  ​I got you. That makes a lot of sense.
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Mwisrael 1 =Wapalestina >1000....kweli dunia ina mambo! Ndio maana wanawaua sana maana hawana dhamani labda..au?
   
 10. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Palestina imefunga Waisrael wangapi katika Magereza yao ? na Waisrael wamefunga Wapelistina wangapi katika Magereza yao ? nani amepata deal poa hapo ? acha kutumia masaburi !
   
 11. N

  NASSOR Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwi israil 1 = Wapalestina 1027
  Waisrail 6,000,000 = Wapalestina ?
   
 12. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
   
 13. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Askari wa Israel are well trained angalia hata operation zao walizofanya ulimwenguni kote ni za mafanikio makubwa na kwa upande mwingine waweza sema ni za kiajabu-ajabu mfano vita vya siku sita vya Mashariki ya kati Kati ya Waarabu na Isarael,na 90 minutes at Entebe airport pia wana uwezo wa kuwa-target magaidi popote walipo,kwa maneno mengine Jeshi la israel lina Mkono mrefu wa kuweza kuwafikia mahasimu wake popote walikojificha.
  Hii ndiyo inayowafanya wawe na dhamani sana hata katika vita vya 1967 walifuata ratio hiyo kubadirishana wafungwa wa kivita na waarabu.
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  It doesn't wf you say lakini wapalestina wameshinda Allah Akbar

  Watu warudi makwao wakaanzishe mapambano mapya mpaka watapike
   
 15. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Panga pangua historia itajirudia tu na ukweli ndiyo huo tutasema mengi lakini ukweli utabakia pale pale.
  For sure they are well organised than Tanzanian and all Arabs
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kaazi kweli kweli, mbona unataka kuharibu hii thread? Are you sure you want to deal with me? If I was you, I wouldn't. Mkuu MziziMkavu ni jamaa yangu wa siku nyingi na si dhani kama ni busara kumharibia thread yake, kama ambavyo utakavyo wewe Ali Kombo. Heshma ni kitu ya bure,.
   
 17. K

  Kicheche Member

  #17
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  lakini waligonga mwamba kwa Hiz-bullah
   
 18. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sio dhamani, ni thamani!
   
 19. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Ki vipi hujafafanua hebu fafanua tuone kama kweli waligonga mwamba kama LordJustice1 anasema hawana thamani jaribu kutupatia kivipi hawana thamani????
   
 20. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ................ kwakuwa una Simba na Kondoo ambao ndio Waungu wako ? punguzeni kuandika ujinga humu ! kila siku Wapelestina wanakamtwa na kufungwa kwa uonevu na ubeberu, leo nyie mmekalia kubeza. Si ajabu hata makaburu walikuwa na watu wa kuwasapoti, na walihalalisha ubaguzi wao kwa kutumia Biblia !
   
Loading...