Hizi mashine kuna feki kama vifaa vingine vilivyo, mashine ya kuanzia milioni hutajutia na brands za maana kama LG, SUMSANG, WHIHPOOL, BOSCH etc hizi brands kama hisense westpoint hapana. Natumia haya makitu miaka kumi sasa. Tena nguo chafu inafanya vizuri kuliko mikono.
Pombe zote zina madhara hasa unywaji wa kupindukia. Tatizo la pombe hizi ni bei zake rahisi na kilevi chake ni juu. Watumiaji wengi hawajali lishe/ hawana uhakika na chakula. Wanaishia kulewa na mwisho kudhoofu....
Bongo siyo ajabu, mnakumbuka mwendazake na kupatikana kwa covid kwenye Mapapai baada ya kufanyiwa uchunguzi wa maabara! Juice za miwa tunazigonga kila uchwao na miwa inaliwa kila siku. Hii ni ajabu....
Hili kundi lilitumika kama mtaji wa siasa, limekuwa ni kero baada ya kuaribu swala zima la mipango miji. Watu wamehamia mijini kwani sehemu yoyote waweka biashara, hakuna maegesho. Turudi kwenye taratibu.
Juzi nililazimishwa na askari wa barabarani kufunika taa za ukungu baada ya mabishano ya muda mrefu. Alitaka kunilima notification lakini nikamuwahi kwa hela ya kubrashi viatu.
Sasa kwenye hili jukwaa lazima kutakuwa na mdau wa hili. Hii sheria inahusu taa za mwanga mkali ama hata hizi za...
Jana nilienda ofisi za startimes hapa jijini Arusha. Katika maongezi na mto huduma pale nikakuta aina mbili za vingamuzi tofauti yake ni colour strips. Yaani kimoja kinaruhusu free local channels na kingine zinaondoka mara malipo ya kila mwezi yakiisha. Kuhusu vingamuzi vya zamani ili viwe na...
Siku hizi wanaojiita wajasiriamali kwenye ufugaji ni wengi. Wanadanganyana vibaya mno mwishowe mfugaji anategemea very big profit. In reality siyo hivyo. Yangekuwa mayai mawili tungekuwa matajiri wakubwa mno. Yaani hata ukiwapa chakula kila saa. Ni yai moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.