Local channels kuuzwa 55,000/= STARTIMES

Local channels kuuzwa 55,000/= STARTIMES

KIBUKUSA

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
84
Reaction score
30
Jana nilienda ofisi za startimes hapa jijini Arusha. Katika maongezi na mto huduma pale nikakuta aina mbili za vingamuzi tofauti yake ni colour strips. Yaani kimoja kinaruhusu free local channels na kingine zinaondoka mara malipo ya kila mwezi yakiisha. Kuhusu vingamuzi vya zamani ili viwe na uwezo wa kubakia na local xhannels inatakiwa ulipe 55,000/= upgrade! Sasa sijui hii imekaaje mwanzoni local channels zilikuwa freely kwa vingamuzi hivyo hivyo. Iweje leo vilipiwe? Hebu wadau watusaidie kudadavua hili swala ndani ya Tz ya viwanda. Naomba kuwasilisha....
 
Alafu zinakuwa bure au unalipia tena monthly subscription
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom