Gari kuandikiwa faini hewa na kulazimishwa kulipa

KIBUKUSA

Member
Dec 13, 2013
84
29
Gari yangu iliandikiwa faini hewa. Gari ipo Arusha lakini iliandikiwa faini mkoani Shinyanga. Polisi wanasema hawawezi kufuta hiyo faini. Nifanyeje?
 
Unajitafutia matatizo tu lipia ... Mjomba hata kama ni ya kubumba... Cheni yake inakujaga ku cost mamiezi..
 
Trafiki hua wanakoseaga sana namba mimi kuna mmoja aliandika namba ya leseni vizuri ila kwenye namba ya gari aliandika gari jingine...😁😁😁😁
 
Atapoteza muda tu Kama Ni buku 30k alipe tu aendelee na mishe za kutafuta
Na wanafanya hivyo kwa vile wanajua hatuna mahakama zenye uwezo wa kusimamia mashtaka dhidi ya serikali. Vinginevyo ni case ya kuidai fidia kubwa.
 
Back
Top Bottom