Subash bhai huenda bado yuko apolo, ila kiukweli mnapata taabu mana mdawi hakupitiki wkt wa mvua kilio chenu kimemfikia, diwani ni wa ccm au cdm, yabidi ajulishwe nyumbani ni nyumbani na inabidi akupe first priority
Ngongo nakubaliana nawe saaaana mm pia ni mkazi wa ololo, nimezaliwa hapo mama mushi ameuza saaana vitumbua ktk K.11pia mama mzungu alikuwa anafanya kazi lion tours haiwezekani wao wauziwe kinyemela ss walalahoi ndio tutolewe kama ni wakimbizi ktk nchi yetu, namwomba mbunge LEMA AFWATILIE KWA...
mpaka ss tz bara tuna zaidi ya miaka 45 ya muungano na visiwa vya pemba na unguja, ss tz bara tunafaidika nn hasa na huu muungano? Binafsi sioni sbb ya kuendelea kuwa nao. Naomba mowazo chanya zaidi
Labour wako easy sana wahandisi waliokuwepo TOL sio mchezo lakini labour uhamiaji wanahongeka kiulaini, na tutahakikisha mpaka walinzi wa kufungua mageti ya tol wanatoka kenya we subiri 2012 uone balaa letu watoto wa kibaki
Njoo Tanzania Oxygen uone ss wakenya tulivyowaondoa wtz ktk ajira kulikuwa na wahandisi wazawa wazuri sana mpaka ss wakenya tunajiona tuko shallow ila tumefanya fitina
Wapendwa wana jf wenzangu napenda kuwatakia kila la kheri katika mwaka mpya wa 2012, mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema azidi kutubariki katika kila jema tufanyalo katika yeye.
Once again WISHING U ALL A HAPPY AND PROSPEROUS NEW YEAR 2012.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.