Recent content by kibibikizee

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu, nahitaji dawa ya kupunguza hamu ya sex!

    she really is very lucky dah..
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tuchambane hapa

    Ahahah twende twende...kwenu mpo weng mpaka wa mwisho anaitwa e.t.c
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti amjibu mama yake, ndio maana baba ana mwanamke mwingine

    Hahahahaha amwambie hivyo kabisa?!? "mama yako ni mtamu sana"....
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    AJUA MUNGU NG'OMBE NI WANGU nilisoma nae middle school!!! Dah...noma sana hahahahaha
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu na mume wangu

    Na watu weng wanavumilia mambo ya ajab sana huko kwny ndoa zao kisa huyo mume ndo kila kitu...dada kaolewa,familia yote macho hapo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

    Angalia galery kama kuna picha picha huko...teh teh:D:p
  7. K

    JamiiForums Tanzania Niliupenda ualimu ila kunipanga serengeti ujasiliamali umenipenda zaidi;

    Uko sawa kabisa...watu wamekazana uzalendo mara wito...uzalendo wangekua nao hao wanaolilia laki 3 za bure kwanza...kila mtu na maamuz yake anayoona yanamfaa
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu na mume wangu

    Dada una moyo...mm ningelipua hyo ofisi na petroli..loh!!:eek::thumbdown:
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi KARMA ina maana gani?

    Karma ni matokeo ya matendo ya mtu aliyokuwa anayafanya...yanaweza kuwa mazuri au mabaya...kama vile malipo ya uliyokuwa unafanya...kama ulifanya mambo mabaya, utalipwa ubaya na kinyume chake.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Iringa sehemu nyingi zinaanza na "I" Nini maana yake?

    Na maeneo meng pia yanaishia na O au LO...mf. Ipologolo,isakalilo,kilolo,kihesa kilolo,etc
  11. K

    JamiiForums Tanzania Movie zangu kali za utotoni!

    Family matters,prince of bell air,home alone,bill cosby show,etc
  12. K

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    niqqas hoe
  13. K

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Hahaha umeniacha hoi
Back
Top Bottom