Recent content by kibajaj

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nani alishawahi kufikiri hili?

    Natamani kama watanzania wote wangekuwa positive thinker kama wewe mkuu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nani alishawahi kufikiri hili?

    Ni takribani mara ya tatu sasa ambapovituo vinavyouza nishati ya mafuta (petrol,diesel) vimesuasua hasa baada ya bei mpya kutangazwa na ewura. Nakumbuka ilikuwa july mwaka huu ambapo mabo yalikuwa mabaya zaidi juu ya suala hili. Pamoja na haya yote serikali ilishindwa kutoa tamko la karipio kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha ila tujikumbushe sasa

    malipo ya dowans, kuuzwa kwake, jairo kuomba rushwa na kusafishwa,makinda kutangaza posho mpya .........
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgeuka msema kweli - wanamtafuta

    Hata hao polisi wanao mtafuta huyu bwana kwa kutumwa na wakubwa ni sawa na makopo ya choomi ambayo yakisha kutumika kwa mda mrefu na kuchakaa hutupwa na dhamani yake isikumbukwe tena . ngoja watumwe na wakubwa wamkamate ila wakumbuke kuwa wanalipwa laki mbili na wanalala kwenye nyumba za madebe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mrema:michango ya makanisa na misikiti sababu ya kuongezeka posho za wabunge

    hivi we unafikiri mrema ana akili timamu? kazeeka hadi utumbo yule .Waswahili wanasema ngombe hazeeki maini ila mrema kazeeka akili maini na ngozi!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za JK kumnyima Samuel Sitta na kumpa Anne Makinda nishani hizi hapa!

    tanzania nayo ina raisi? sema yule mtunza mafisadi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Watanzania wenzangu mimi inanisikitisha sa kuona serikali iliyoko madarakani haisikilizi na kufuata matakwa ya wananchi, Aliyoyaseme muheshimiwa Tundu Lisu Bungeni yana hoja ya msingi bila kufuata uchadema wala uccm. Wana JF na Watanzania wenzangu nahamasisha mgomo wa nchi nzima kupinga suala...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

    I wisha i were there nchii hii imenichosha Nina imani kabisa mbunge wa mbeya mjini leo halali dodoma ataondoka kwenda mbeya tafadhali endeleeni na mwendo huohuo UKOMBOZI WA TANZANIA NI SASA
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

    watasema ni chadema na siyo kandoro aliyesababisha haya!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi askari Polisi wa Tanzania hulipwa mshahara kiasi gani?

    mi nilijua ni ka milioni hivi manake wamejaa misifa hao utazani ndo hawana shida kumbe ndo mana wengine hata nguo za kubadilisha hawana wanashindia sare zao hata ikiwa hawapo zamu!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali changia kujibu swali hili kuonyesha mchango na mtazamo wako

    Kwanini kila watu wanapoanza kuhoji kuhusu DOWANS kunakuwa na mgao wa umeme?
  12. K

    JamiiForums Tanzania 50 years of independence of Tanzania Zanzibar exclusive

    It is my conviction that the name TANZANIA came to exist after the unification of TANGANYIKA and ZANZIBAR in 1964. This unification has just lasted for 47 years. When the unification of two countries took place it should be noted that ZANZIBAR had just undergone  revolution three months...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    waache wahongwe ila waliona tunisia misri na kwiningineko mambo yalivyokuwa !
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

    kwani we ulitakaje mkuu !
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Nainoea huruma sana serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania kwani imejiingiza kwenye tatizo ambalo viongozi wasipokuwa makini litawadhalilisha wao p0amoja na serikali yao kwa ujumla,kutangaza bei ya mafuta na kushindwa kuwa na power of command juu yake ni aibu kwa serikali japo hakuna...
Back
Top Bottom