Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Nilipenda kuwauliza Chadema.
Pale uwanjani NMC Arusha mlipamga mkae na kukesha hapo mpaka Lema atolewe gerezani kule uwanja ndege wa Kisongo.
Vipi mlifanikisha lengo lenu?
Je mnajua kuna akina Akili Mpwapwa wangapi Polisi, Kuna akina Kamanda Zuberi Mwombeki wangapi Polisi huko Tz.
Sisi yetu macho.