Tafadhali changia kujibu swali hili kuonyesha mchango na mtazamo wako

kibajaj

Senior Member
Apr 12, 2011
106
26

Kwanini kila watu wanapoanza kuhoji kuhusu DOWANS kunakuwa na mgao wa umeme?
 
Inaweza kuwa ni mradi wa wakubwa wote wa nchi tangu Mkubwa mdogo hadi mkubwa mkubwa!
 

Kwanini kila watu wanapoanza kuhoji kuhusu DOWANS kunakuwa na mgao wa umeme?

1. Kwa sababu za kiintelijensia
2. Kwa sababu hela za mfadhili wa magamba lazima zilipwe so mnapigwa mgao ili mharakishe kulipa
 
Kwa sababu sasa wamechagua menejimenti mpya ambayo mimi nadhani ni makuwadi wao
 

Kwanini kila watu wanapoanza kuhoji kuhusu DOWANS kunakuwa na mgao wa umeme?
vithibitisho, usikurupuke. Eti mbona kila siku watu mnazidi kuwa na mawazo finyu? tumezidi kuwa wapikaji wa maneno , ili yatufikishe wapi? mtu anaamka anafikiri jambo ambalo anaona ah hawa wajinga nikiingiza maada hii lazima watachemka sana. Sichangii tena ngoja nikalale.

Ok, labda katika neno DOWANS , ukiondoa herufi A linasomeka DOWNS, thehe , thehe, thehe, kumbe ukitamka tu DOWANS umeme unapungua nguvu, nilikuwa sujui.

TUUNGE MKONO JUHUDI ZA SERIKALI JAMANI HVI SASA MGAO SI SANA, VIVA JK.
 
Hii habari ni ya kusikitisha... Lakini sijui kwanini imenifanya nicheke..... Dah! (naona sababu heading ilinitisha)
 
Back
Top Bottom