Hivi askari polisi wa Tanzania hulipwa mshahara kiasi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi askari polisi wa Tanzania hulipwa mshahara kiasi gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samoramsouth, Nov 10, 2011.

 1. s

  samoramsouth Senior Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ikiwezekana tuthaminishe na mauaji, dhuluma na unyanyasaji kwa raia wenzao, ndugu zao, au hata jamaa zao.
  Wenye data tafadhali.

  Nawasilisha
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Haizidi Tsh250,000/=
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Duh! Kumbe na mimi naweza kumuajiri askari wa bongo?
   
 4. k

  kibajaj Senior Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nilijua ni ka milioni hivi manake wamejaa misifa hao utazani ndo hawana shida kumbe ndo mana wengine hata nguo za kubadilisha hawana wanashindia sare zao hata ikiwa hawapo zamu!
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,575
  Likes Received: 4,688
  Trophy Points: 280
  Hao ni kama mbwa koko tu,wanaambulia makombo tu. Mabosi wao wanautumiwa na CCM ndiyo wanavuta hela ndefu na marupurupu kibao toka kwa mafisadi.
   
 6. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wasameheni, ajira ngumu!
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  wanafanya kazi yao... na isitoshe uaskari ni wito....

  watu hawawezi wakaachwa wavunje sheria hivihivi sababu wapo wengi...
   
 8. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Askari wanalipwa hela nzuri sana siku hizi. Kuna shemeji yangu mmoja yupo usalama barabarani anakula kala milioni moja na nusu hivi na ameanza kazi mwaka jana tu.
   
 9. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sijui kiasi cha mshahara ila najua wana posho ya kila katikati ya mwezi. Ni ndogo tu. JK aliahidi kuwaboreshea,lakini ndo hivyo.Wengine wanaamua kuazimisha silaha kwa majambazi,wengine wanaingia fronti wenyewe!
   
 10. Ryaro wa Ryaro

  Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 2,663
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  police ya Tanzania inajulikana malipo yao na Posho kwa askari wa dalaja la kati ni kuanzia laki 2.5 hadi laki 3.0. In short Tanzania police ndo inateseka sana na ukali wa maisha hawana fedha za kutosha kukidhi wenyewe na familia zao. POLICE TANZANIA WANA KHALI MBAYA.
  Na huyu ndg yako traffick kusema anapata pesa nyingi hii ni simple tu kitengo cha traffic ni mabingwa kwa rushwa Tanzania.
  NDUGU ZANGU WAJAMII FORUM, POLICE WANATESEKA NA MAISHA KAMA WATANZANIA WENGINE ILA KWA VILE WAMEHAPA KTK KUTIMIZA MAJUKUMU YAO YA KIKAZI TUWAVUMILIE BURE NA TUENDELEE KUWAELIMISHA KUWA UFISADI UNAWETESA PIA.....CCM NA SERA ZA KUTULIZA WAPINZANI KWA RUNGU LA POLICE... WATACHOKA NA WATASHINDWA KUTIMIZA MALENGO YAO YA KIUTAWALA.
  VITA IMEKUWA KALI, ADUI (WA WATANZANIA NA MUNGU YAANI (CCM) ANAZITI KUPOTEZA UMAALUFU NA SIKU SI NYINGU NGUVU YA UMMA ITAIBUKA MSHINDI NA MKOMBOZI WA WANYONGE ( WATANGANYIKA)...
   
 11. k

  kandikiula Member

  #11
  Jul 8, 2013
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba dawa ya mimba
   
 12. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2013
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  pia makazi mengi ya polisi kwa maana ya kota wanazoishi sio mazuri. ni watu muhimu ktk maisha yetu wananchi lakini maslahi wanayopata ni duni na pia uadilifu wao katika utumishi wao kwa wananchi sio mzuri.
   
 13. L

  Lilambo JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 2,526
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Udogo wa mshahara wao na adha mnazowapa nyie za kuandamana kila siku vinawapa hasira. Ndiyo maana wakikudaka unachezea heavy kipigo
   
 14. L

  Lilambo JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2013
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 2,526
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wangepewa nyingi wasingehangaika kudunda watu. But mshahara mdogo sana ndiyo maana wakikukamata utaeleza vizuri. Poleni Polisi ndiyo maisha.
   
 15. d

  dibk JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2013
  Joined: Jun 26, 2013
  Messages: 367
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  hapo umenena mk8
   
 16. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mkuu hayo ni matusi sasa,..kiukweli Tanzania huwa tunatanguliza mambo flani sio ya msingi lakini tunayakomalia kweli,.. ukitazama sensitivity ya kazi hizi utaona wale wenye majukumu mazito ndio hawathaminiwi kabisa huku wasio na maana wakipewa kila kitu,..mifano mizuri tu ni polisi, walimu, wahudumu wa afya kwa ujumla wao hawana chochote cha kujivunia licha ya umuhimu wa huduma zao, upande wa pili wanaoifaidi nchi ni wasiokuwa na michango ya maana kama vile wabunge, wana-bodi wa mashirika yanayofilisika kila siku kama nssf na ppf na air Tanzania, ukiangalia polisi, kiukweli nao wanatumika vibaya na hayo matumizi yamewajengea uhasama na raia wanaowalinda kiasi cha kuwa na chuki kubwa na hii inataka viongozi makini kupewa jukumu la kuongoza nchi na watu wake.
   
 17. mbaraka.m

  mbaraka.m JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2013
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aisee nitarirarua lijitu humu ndani
   
 18. W

  Walas Ba JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2013
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 2,988
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  mura mura mura!!!!!
   
 19. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2013
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Huwezi mkuu.....hapo hujaweka 'ration' na rushwa! Mtu wangu jamaa wako safi!
   
Loading...