Ahaaa, hayo maji yamekosa njia hata ya kuelekea baharini means kuna njia ya maji hapo bomoa bomoa ndo only solution kwa hiyo sehemu, maji yapate njia yake... hata kama wakieka opening kubwa bado yanatakiwa yacross yapete njia ya kuelekea baharini na eneo lile lote lina nyumba za watu. So sio...
Hivi ni kwanini serikali yetu hii ya Tanzania isitufungulie watanzania bank ya wakandarasi tu, iwepo kwa ajili ya kufinance miradi wanayopata wakandarasi.
pale mkandarasasi anapopata mradi anakuwa na uhakika wa kupata finance kutoka kwenye hiyo benki ya wakandarasi wa kitanzania kwa kutumia hiyo...
na hata wao wenye magari vile vile wanahatari ya head to head collision wangeweka hata boundary ya kutenganisha basi hata kwa toe wall hapo kati maana ya wanaoenda upande mwingine hawawezi ingiliana na upande mwingine.
ile bara bara ni hatari sana kwa sasa kwa wavuka miguu na wenye magari vile...
kwakuwa wavukaji ni wadogo unaona ni sawa tu usalama wao ukiwa hatarini? na kwa sasa majengo mengi ya ofisi yanajengwa so kwa mbeleni watakuwa wengi hivyo nimuhimu yakawekwa sasa... maana ni hatari sana kuivuka ile barabara
sio daraja moja, atleast pale kwenye wavukaji wengi wanaweka kama section ya bamaga mpaka mwenge waweke moja, alafu makumbusho waweke moja na Victoria waweke moja. jumla matatu
Barabara ya Morocco - Mwenge imekuwa pana sana kiasi kwamba inakuwa ngumu sana kwa wale wanaotembea kwa miguu kuvuka barabara kutoka upande mmoja kwenda mwingine ukizingatia ni ngumu sana kwa magari kusimama kwenye zebra na kuruhusu waenda kwa miguu kupita.
Maoni serikali iliangalie hili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.