masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Lakini kilaa inyeshapo mvua kubwa ,hii ndio hali halisi, na hivi ndo ilivyokuwa leo asubuhi.
Haihitaji kuwa injinia kusema kuwa hapa kuna design failure.
Uwazi uliowekewa kupasisha maji ya mvua ni mdogo mno.
Kazi kwenu TANROADS.