Wanaume wa Dar ni akina nani?

Wanaume wa Dar ni akina nani?

Jamani Na sisi ambao life imegoma kusogea mikoa ya pembezoni Na kuja Dar kutumia fursa zilizopo mbona mnatunyima raha!. In maana turudi tulikotoka tukaendelee kupigika Na tukila mlo mmoja tujisifu sisi Ni wagumu. Siwaelewi kabisaaaa!.
 
Wanaona fahali kukaa sehemu za starehe mpaka usiku wa manane na hurudi kwa wake zao late nyt... na vile wanaona kuchepuka dili...
 
mi ananikeraga yule anayesema wanaume wa dar hatusimamishi kwa muda mrefu ndio maana tunatumia midomo (chumvini)

mambo ya kutiana aibu tu
ahaaaaaaa kweli wanaume was dar wanapenda chumvini ni ukweli kabisa
 
Wapenzi wangu, habarini

Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.

Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."

Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.

Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."

Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
Ni lege lege kitandani,akipiga mzunguko mmoja saa 1 jioni kurudia tena kesho saa moja jioni
Hawali vvyema wao ni chips mayai
Hawezi kukubeba beba huku anakupiga nao mjeledi sababu HAWANA nguvu
Akikugegeda hata senti hakuachii baada ya kumpa papuchi

Njoo kwangu MWANAMME wa mkoa!Saa 1 bao moja
 
Ukimuona jirani anaiangalia sana nyumba yako na heshi kuifuja ujuwe anaitamani na yeye kama yako. Dar ndio shule mwanaume wa mikoani kama hajafika dar basi hudharauliwa na wenzake nimeshawaona kwa macho yangu. Tena wakijua kama unatokea dar wanataka uwe rafiki yao ili wakija wapate pakufikia.
 
Ni lege lege kitandani,akipiga mzunguko mmoja saa 1 jioni kurudia tena kesho saa moja jioni
Hawali vvyema wao ni chips mayai
Hawezi kukubeba beba huku anakupiga nao mjeledi sababu HAWANA nguvu
Akikugegeda hata senti hakuachii baada ya kumpa papuchi

Njoo kwangu MWANAMME wa mkoa!Saa 1 bao moja
Weeeeeee nae ni mwanaume kweli!! . Kwa maneno km hayo. Ulijuaje km wanapiga kimoja hebu funguka kidogo mkuu..
 
Kwa hapa JF "wanaume wa Dar" wamejaa jukwaa la Celebrity..
 
Aaah Beauty Eva, kwanini upate shida kujua aisee!!! Sisi ndio true definition ya wanaume wa Dar na picha halisi ya mwanaume halisi Tanzania. We are a total package !! . Ndio maana mabinti na wanawake as well as vijana na "wanaume" watu wazima wa mikoani siku zote wanatamani na kuona fahari kuja Dar. Na wakifanikiwa kuja ni kama their dream come true.

Actually, hawa wanaume wa mikoani wanaokimbilia Dar kila siku ndio wanaoharibu (chafua) uhalisia wa wanaume wa Dar kwasababu wakija wanaiga vitu vya ajabu ajabu kwenye tamthilia na kwingineko ili ku-cover syllabus haraka such that wanapilitiliza na wanajifanya nao washakuwa wanaume wa Dar. Wanatuharibia banaa. Ha ha haah.

Kuna kila sababu tuzuie pale Mkuranga na Kibaha wanaume wa mikoani wasije Dar...wanatuharibia. Waje wadada tu...ili wale mema ya dunia banaa. Ha ha haaah.

Kumbuka, huko mikoani mtu au mtoto akikosea kidogo tu ataambiwa UTAKIONA CHA MTEMA KUNI. Sasa sisi ndio WATEMA KUNI WENYEWE. Ha ha haaaah
 
Wapenzi wangu, habarini

Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.

Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."

Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.

Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."

Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
Ngoja wanaume wa Dar waje uone watakavyoanza kulalamika, shauri yako umeyataka mwenyewe
 
wajanjaaaaa, wabunifuuuuu, wanaogopa panya road,,,,kumtambua wanalegeza suruali kata K.......ila ukijichanganya umeliwa.....

Ha ha haaah...mkuu wanaolegeza suruali huku Dar sio sisi wanaume wa Dar....hao ni wale wakuja kutoka mikoani...eti nao wanajifanya wa Dar...ha ha ha
 
Back
Top Bottom