Recent content by ketete

  1. ketete

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

    Yaani wasumbufu kama zote. Mimi baada ya kutowapa pesa wakaandika faini eti tairi mbovu hali zina mwezi. Nimewaambia silipi mpaka niwaone wakubwa zake ofisini
  2. ketete

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Muuguzi afariki baada ya kuchomwa kisu na Mgonjwa

    Unakosea sana
  3. ketete

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Muuguzi afariki baada ya kuchomwa kisu na Mgonjwa

    Unafikiri yeye anatakiwa kuwa salama zaidi kuliko sisi?? Vema awe anatajwa muhusika ili tuliohai tuwe na tafadhari naye
  4. ketete

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Muuguzi afariki baada ya kuchomwa kisu na Mgonjwa

    Jina la aliyechoma limehifadhiwa ila la aliyekufa latajwa . Sielewielewe utaratibu
  5. ketete

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kuanzisha familia

    Ushafeli tena
  6. ketete

    JamiiForums Tanzania Njooni Tuongee: Vifurushi vya Data kupanda mara mbili, ni nini tatizo?

    Ulifikiri hela za kampeni zinalipwa na nani????
  7. ketete

    JamiiForums Tanzania Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

    Namaanisha agiza moja kwa moja bila ya kupitia wakala waliopo hapa tz
  8. ketete

    JamiiForums Tanzania Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

    Hamna kitu. Labda uliagizia wale wa nje
  9. ketete

    JamiiForums Tanzania Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

    SBT hamna kitu hapa bongo Labda tumieni kule ng`ambo lakini hapa bongo utalia
  10. ketete

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

    Tufahamishe ni muda gani unatakiwa halafu huyo ndugu alikaa muda gani?? Nini maana ya kusomeshwa,na je unaweza toa ufafanuzi ama utofauti kati ya elimu bure itolewa la kwanza mpaka form four na elimu inayotolewa chuo kikuu kwa mkopo???
  11. ketete

    JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

    Kwani aliyempitisha mpaka agombee ni nani????
  12. ketete

    JamiiForums Tanzania Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Aliens alitengenezwa na nani
  13. ketete

    JamiiForums Tanzania Kalemani/ Byabato anzeni na Meneja wa TANESCO mkoa wa Dar es Salaam

    Mmmmmmh si wataisha wote jamani.
  14. ketete

    JamiiForums Tanzania Kuna shida yoyote nikichelewa kuripoti chuoni?

    Hujasema kwamba there's a problem. You're too general
  15. ketete

    JamiiForums Tanzania Kuna shida yoyote nikichelewa kuripoti chuoni?

    Shida utaiona baada ya kuchelewa. Hivyo jitahidi uchelewe.
Back
Top Bottom