Morogoro: Muuguzi afariki baada ya kuchomwa kisu na Mgonjwa

Hauambukizi, ni ugonjwa unaoathiri nerves, ndio maana sehemu zilizoathirika na ukoma huwa hazipati maumivu
The bacterium Mycobacterium leprae causes leprosy. It's thought that leprosy spreads through contact with the mucosal secretions of a person with the infection. This usually occurs when a person with leprosy sneezes or coughs. The disease isn't highly contagious.
 
Hiki kitu kilishadhibitiwa mkuu ndio maana unaona watu wa ukoma mnakutana kwenye mikusanyiko na hakuna maambukizi mapya yanayotangazwa
 
Pitia pitia hata google mkuu utapata majibu, nilichokiandika ndicho na ni taaluma yangu pia sijabahatisha
Kama ni taaluma yako si utufafanulie ili wanajf Wenzetu wajue namna ya kujilinda na hilo gonjwa
 
Hiki kitu kilishadhibitiwa mkuu ndio maana unaona watu wa ukoma mnakutana kwenye mikusanyiko na hakuna maambukizi mapya yanayotangazwa
Sasa fafanua zaidi Maana kuna matapeli wa fani za watu humu
 
Back
Top Bottom