Morogoro: Muuguzi afariki baada ya kuchomwa kisu na Mgonjwa

Ukisoma vzr utagundua kuwa baada ya kuqmbiwa hakutake any initiatives kutafuta ukweli wa taarifa hiyo, nilidhani baada ya kupata hiyo tip angepiga simu kujua ukweli na angejibu mwandishi kuwa ameelezwa kwa kifupi na kweli kwamba kuna hicho kifo lkn atatolea taarifa kamili baadae.... hiyo ndio namna nzur ya ku deal na media boss wangu!!
Inawezekana alipopata hilo akaanza kutafuta ukweli kwa Kamanda wa Wilaya, ila kabla hajaupata, mwandishi akaona siku isipite bila kuirusha habari.
 
Jina la aliyechoma limehifadhiwa ila la aliyekufa latajwa .
Sielewielewe utaratibu
Si umeambiwa ametokea Bagamoyo! Labda wanahofia watu watalinganisha majina!! Unakuta aliye uwawa ni Sister Agatha, halafu muuaji ni wa kutoka ule upande wa pili wa Dini ya Haki!!

Nawaza tu lakini🤔
 
Duh kama alitumwa vile dah. Kazi ya uuguzi ni ngumu, piga picha kusafisha hivyo vidonda na bado mtu akakuchoma kisu dah.
 
Nadhani leprosy inasababishwa na bacteria na inaambukiza

Ndio maana watu wa zamani ilikuwa wakikushtukia kuwa ina Ukoma walikuwa wanakutenga wewe na familia yako ilikuwa hata kuoa kwako hawaji
Hauambukizi, ni ugonjwa unaoathiri nerves, ndio maana sehemu zilizoathirika na ukoma huwa hazipati maumivu
 
Back
Top Bottom