Recent content by Kessy west

  1. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Chakula (mama wa biashara zote)

    Hii biashara ni nzuri lakini muhimu ukae mwenyewe kama keshia... Maana ukisema uwaachie vijana ni hasara tupu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

    Wapdam... Umenikumbusha mbali sana kanokia kangu kakuwashia juu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taja kitu ukipendacho na usichokipenda

    Sipendi Ujinga......... Napenda kula tunda
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi matatizo ya Tanzania yameletwa na Wazungu? Mbona madawa, chanjo, ndege, barabara wanajenga na tunanunua kwao?

    Sio kila Siku mnapiga makelele....Serikali!!! Serikali!!! Serikali!!!....Mara Ooo mabeberu....Hii nnchi Wananchi Mnafikra mbovu kuliko Uzima wa Serikali ya CCM.....Wewe Kama Wewe mtoa mada umefanya Nini mpaka Sasa katika kusadia Jamii yako??? Zaidi ya kulaumu Serikali??? Walau basi toa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    [QUOTE="Dreamlinerz, ukipata muda jaribu kusoma Historia ya Bara la ulaya halafu uone haya unayosema yalitokea kwetu kama kwao hayakutokea. Hayo unayozungumzia ni mifumo tu ya maisha ambayo ni lazima itokee kwenye jamii fulani ili iweze kuendelea na hayo hayapingiki kwa sababu ni LAW OF NATURE...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Penzi la dhati lililounda kampuni ya Benz

    Wa huku kwetu wanajua kupiga mizinga tu.....na kubandika Mawigi vichwani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    infinix, Mkuu inavyoonekana una hasira Sana na Serikali ya CCM!!!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    Unafahamu nyerere alikuwa na maana gani kuzuia shughuli za uchimbaji wa madini Tanganyika Na Akasema tutakuja kuchimba wenyewe Siku tukiwa tumeendelea??????
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    Hamjui chochote kuhusu Ukoloni Wala wakoloni. Rudini darasani mkasome Historia. Mmesahau kuwa waliondoka na Masalia ya Mnyama mkubwa zaidi kuwahi kutokea Duniani. Waliondoka na nafsi za Mashujaa wetu wapendwa waliopigania Ardhi zao. Walitufanya watumwa kwenye mashamba yao ya mikonge na pamba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuvaa wigi au Brazilian Hair Kanisani, Je huwa kuna Mungu anahubiriwa kweli?

    Picha tafadhari.........!!!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

    Kweli mkuu Miamala ya kifedha Baadhi ya maeneo Iringa ni tatizo na Mawakala ni wachache Sana ....hasa Maeneo ya Mufindi, Baadhi ya maeneo ya Kilolo na Maeneo yote kutokea Isele mpaka Ruaha mbuyuni....Sehemu nyingine hakuna Mawakala kabisa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

    Na pia ni mkoa pekee ambao unaweza kuelekea mashariki ukaja kutokea Magharibi.....Sema Baadhi ya vitu vina boa..Mfano Vyumba Baadhi ya maeneo kama M/togwa ni gharama Sana afu nyumba za kiboya....Pia Pamba(nguo) Iringa ni gharama Sana ndomana mabishoo wengi wa Iringa wamekondeana,sababu ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Balaa Duniani. Manula Mbele ya Kaseja, wote waitwa Taifa Stars. Unampa nani alinde Goli?

    Dimbani dakika 90 ninampa Manula.....Lakini Kama ikitokea tukaenda kwa Penalty Kaseja ataingia Sub.....
  14. K

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    We jamaa yawezekana tumesoma shule moja.....mbona comment zako zote zinanihusu!!!
Back
Top Bottom