Balaa Duniani. Manula Mbele ya Kaseja, wote waitwa Taifa Stars. Unampa nani alinde Goli?

Shilandula

Member
Nov 30, 2019
6
6
manulaz (1).jpg

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars', Ettiene Ndayiragije amewaita wachezaji 32 kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Chalenji yatakayofanyika Uganda.

Mashindano hayo ya Cecafa yataanza kutimua vumbi Disemba 7 mwaka huu huku kipa wa Simba, Aishi Manula akijumuishwa kikosini hivyo timu hiyo kuwa na makipa wanne wakiongozw ana Juma Kaseja wa KMC, Metacha Mnata (Yanga) na David Kisu (Gor Mahia ya Kenya).

Kumekuwa na Mijadala Mingi vijiweni eti kati ya Manula na Kaseja nani zaidi...Sasa Kipindi Hichi Wameitwa wote Taifa stars ...Kama weweNani Unampa Goli alinde tusitunguliwe?

Kaseja or Manula?

By Papaaaa Shiiiiiiii
 
Aishi si chaguo la Mrundi, kelele zenu tu ndo zimesababisha aitwe... Mimi ni mwanasimba ila namkubali Kaseja zaidi. Aishi anajua kudaka ila anapaswa kuongeza bidii ili kuonyesha uwezo zaidi
 
Dimbani dakika 90 ninampa Manula.....Lakini Kama ikitokea tukaenda kwa Penalty Kaseja ataingia Sub.....
 
Wote hao wakawaida ila Manula ana mapungufu mengi zaidi ya kiufundi! Kwa mashindano haya ambayo ni kama bonanza mwalimu angetumia nafasi hii kuwajaribu Metacha na Kissu kwa ajili ya matumizi ya baadae!
 
Back
Top Bottom