Hivi matatizo ya Tanzania yameletwa na Wazungu? Mbona madawa, chanjo, ndege, barabara wanajenga na tunanunua kwao?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Hivi matatizo ya Tanzania yanaletwa na wazungu tunaowapa jina la mabeberu?

Hivi toka uhuru ni wazungu ndio wanaleta matatizo kwetu? Tukiangalia nchi zilizopata uhuru mapema za kiafrika na zilizochelewa zipi zina masndeleo?

Hivi Rais Magufuli na CCM yake ni mradi gani mkubwa unaofanywa na wazawa? Hayo maendeleo ya kuwapelekea wazungu hela za miradi mikubwa kama ndege, flyover, meli, barabara, bwawa la umeme anajua kuwa anajenga nchi za wazungu?

Je anajua anavyokopa kila kukicha anawafaidisha wazungu?

Anajua toka uhuru elimu bure inayotoa haina faida kwa wananchi wake zaidi ya kuwa vibarua kwa kuwasaidia wazungu? Hivi hii elimu imevumbua nini au inawasaidia nini raia?

Tunazalisha nini cha kuinua uchumi wa nchi? Hizo ndege ndio uchumi? Ingekuwa ni uchumi kama tungekuwa tunatengeneza wenyewe.

Hizo trilioni zote za mikopo kwa ufupi zinaenda kwa wazungu, unakopa huna watu wa ndani wenye uwezo wa kuzitumia unawaita hao hao wazungu unawalipa hizo fedha unabaki unalalamika.

Kitu gani unalalamika unaporwa? Kuna rasilimali inayoporwa tanzania bila CCM kuidhinisha kwa sheria za dharura na wewe ukiwa mmoja wa mawaziri kwa miaka zaidi ya 20.

Kuna mzungu aliyekuwepo hapa nchini kinyume cha sheria?
 
Hizo hotuba zake ni sehemu ya kuficha mwenendo wake wa kuharibu demokrasia hapa nchini, na kuficha udictator wake. Anajua fika wazungu ndio wanaohoji mwenendo wake mbovu wa demokrasia, hivyo anawaita majina mabaya ili kuhadaa umma pindi wazungu wakihoji na kuchukua hatua, aseme ni kwakuwa kawabana hao wazungu kwenye raslimali zetu.
 
Matizo yetu yalianzia tulipo anzisha mfumo wa vyama vingi maana tuliruhusu wachumia tumbo waingilie agenda za kitaifa kama matumbo yao

Haingii akilini mtu kama mbowe awe mkuu wa wapinzani bungeni

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari hii Dakta Bashiru kapewa majukumu mazito ya kuwachinja Wapemba
Ngoja tuone kama atafanikisha ili akaozee ICJ ninamuomba mungu amuumbue
 
Hivi matatizo ya Tanzania yanaletwa na wazungu tunaowapa jina la mabeberu?

Hivi toka uhuru ni wazungu ndio wanaleta matatizo kwetu? Tukiangalia nchi zilizopata uhuru mapema za kiafrika na zilizochelewa zipi zina masndeleo?

Hivi Rais Magufuli na CCM yake ni mradi gani mkubwa unaofanywa na wazawa? Hayo maendeleo ya kuwapelekea wazungu hela za miradi mikubwa kama ndege, flyover, meli, barabara, bwawa la umeme anajua kuwa anajenga nchi za wazungu?

Je anajua anavyokopa kila kukicha anawafaidisha wazungu?

Anajua toka uhuru elimu bure inayotoa haina faida kwa wananchi wake zaidi ya kuwa vibarua kwa kuwasaidia wazungu? Hivi hii elimu imevumbua nini au inawasaidia nini raia?

Tunazalisha nini cha kuinua uchumi wa nchi? Hizo ndege ndio uchumi? Ingekuwa ni uchumi kama tungekuwa tunatengeneza wenyewe.

Hizo trilioni zote za mikopo kwa ufupi zinaenda kwa wazungu, unakopa huna watu wa ndani wenye uwezo wa kuzitumia unawaita hao hao wazungu unawalipa hizo fedha unabaki unalalamika.

Kitu gani unalalamika unaporwa? Kuna rasilimali inayoporwa tanzania bila CCM kuidhinisha kwa sheria za dharura na wewe ukiwa mmoja wa mawaziri kwa miaka zaidi ya 20.

Kuna mzungu aliyekuwepo hapa nchini kinyume cha sheria?
Rais wangu WA majukwaani saizi ni muda wa kitembea na Pacha lako ili kupunguza stress za watu Tutahakikisha tunamjazia strategies za kuboresha maisha ya watanzania...

Saizi Maprinter tayari ndege ikitua Tu na dhana ya ujamaa itatumika ni Raha tupu kuanzia na serikali ya VIWANDA kufufua vyote Kwa fedha zetu wenyewe wenye viwanda vya stress watatujoin wenyewe..

Saizi ni kuchota hela (BOT/HAZINA) kila MTU alipwe laki 500000 Kwa mwezi fungua viwanda vyote vilivyokufa walipe Kodi na gawio KAZI imeisha pokea mishahara usifanye KAZI umetaka mwenyewe..

Tukapokeen NDEGE yetu jaman tuwewazalendo kwa nchi yetu ( 799 X 640 ).jpg
 
Matizo yetu yalianzia tulipo anzisha mfumo wa vyama vingi maana tuliruhusu wachumia tumbo waingilie agenda za kitaifa kama matumbo yao

Haingii akilini mtu kama mbowe awe mkuu wa wapinzani bungeni

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huwezi kujadili hoja nzito nzito bora kukaa kimya.Kwa mtu mwenye afya njema ya akili hawezi kubeza hoja hii nzito.Naona muda wote unamuota Mbowe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu ndio chimbuko la mema na mabaya yote Duniani.Yote yanatoka kwao
 
Safari hii Dakta Bashiru kapewa majukumu mazito ya kuwachinja Wapemba
Ngoja tuone kama atafanikisha ili akaozee ICJ ninamuomba mungu amuumbue
Wapemba wako bars Kama hujui Seif Sharif Hamad mwenyewe makazi yake yako Tanzania bara na mashamba na biashara zake Kule pembavhuwa anaenda kuzuga tu

Siku ya kupiga kura ikifika wapemba wa bara utawaona na.mizigo.mingi wanapanda meli.kwenda kupiga kura pemba
 
Sio kila Siku mnapiga makelele....Serikali!!! Serikali!!! Serikali!!!....Mara Ooo mabeberu....Hii nnchi Wananchi Mnafikra mbovu kuliko Uzima wa Serikali ya CCM.....Wewe Kama Wewe mtoa mada umefanya Nini mpaka Sasa katika kusadia Jamii yako??? Zaidi ya kulaumu Serikali??? Walau basi toa Suruhisho tufanyaje sisi Kama Wananchi.....Unashindia Oooh magufuli......Kati ya Wapinzani na Watawala wote wanafanana tu.....Huku Iringa Msigwa Tulimpa 2010 Akasema Ataifanya Iringa kuwa Kama Singapore....Lakini akatoweka...Mwaka 2015 akarudi akasema Alishindwa kutekeleza sababu hakuwa na Madiwani...tukampa na Madiwani Lakini yaleyale...Sijui 2020 hatatuambia Nini!!...Kwahiyo kijana Hakuna mpinzani Wala CCM...we pambana kivyako kuitoa Jamii yako kimasomaso....Wote tu ni Mashetani Wametofautiana rangi tu.
 
Back
Top Bottom