Taja kitu ukipendacho na usichokipenda

Eti sipendi mvua inyeshe usiku.....
😫😫😫😄😄
Itakuwa ikinyesha unapata purukushani ww.... Hama hiyo mitaa ya uswazi...
Hivi kuna raha kama mvua kunyesha usiku halafu kusiwe na singbodi...
 
Mimi sipendi kula parachichi. Maana halina ladha ya utamu, uchachu, ukakasi wala ukali. Naona limejaa mafuta yanayosababisha watu wazidi kupata maradhi ya viribatumbo a. k. a VITAMBI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom