Mkilala kidogo hii nchi itakuwa ya VIPUSA.
Bora uchaguzi usiwepo, kama wangombea ndio hao wa kina Masako, Musiba na Hawa wa viti maalumu Nakaya!!!!
Vipusa watupu.
Hawa wapiganaji wako wapi,
Papa Msofe, Mawamba, Tomaa wa Diama, Ndama, Madinda, Mtegeta, Mtawali, Kasanga, Gonzaga, Msauzi...