Warembo na Mzuka wa ZAin Concert la J MARTINS

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
CopyofZAINJMARTINS7.jpg
CopyofZAINJMARTINS6.jpg
 
Wale wa forever living product, huyo dada anahitaji Tiba, ile juisi vidumu 6 hivi continous DOZ apungunze sumu mwilini, ni mnene sana.
Uhauri wa bure!!!
 
Kwani kulikuwa na kiingilio?nijuavyo mimi kiingilio hakikuwepo!
Mbona mnatuonea wanene?unene====>sumu? mbona kuna vijitu vyembabaaaaaaaaa na vina sumu kibao!
 
Please mliopo karibu na huyo Dada mnusuruni na muelimesheni angalie sahani na sio kufakamia mavyakula tu ,Makwapa yameanza kugeuka na kuwa mapaja ,hali hiyo ndio inayo letea maradhi mengi ikiwamo moyo kisukari na kadhalika.
 
Vp mbona wanakunywa maji tu na juice mma haikuwepo?
Au waliingizwa bure nn?
 
Hivi wabongo mbona tunashabikia sana hawa wanigeria? Yaani kiingerreza wanachoimba ni kigumu kweli kweli halafu huwa wanamiksi na viliugha vyao
 
One of the worst concert ever seen! ulimuona yule sijui anaitwa nani , yule Yori Yori alivyo kua ana hema kaqma kapatwa na heart attack baada ya kuingia stajini kwa kuruka ruka? ulimuona Chiddy Benz alivyo kua ana bore na yule extra fat Chiku ,walivyo kua wazito ku move stagini? ,Ulimuona yule Bello9 dah ,haki nilikua sijawahi muona alivyo ,sikuamini , yule abadi ku record studio tuu na sio ku perform live , maana hata ku lipsync ilimshinda dah ..bora ilikua bure bure!
 
nakubaliana na wewe kwenye red.....ilikuwa mbaya kwa kweli

sasa yule yori yori ndo sikuona kabisa alichokifanya hata kufikia kuhema kiasi kile jamani

his perfomance on stage was very very poor!!! (may be I expected a lot)

yaani hamna kitu....sufuri , zero, empty.....
 
jamni mnasema concert ilikuwa mbovu hehheee mbona huyu kapata midadi!
mnataka kuniambia sio mzuka wa raha huu!au?
attachment.php
 
@ cheusi tuko tofauti, mimi kukiona kibaya sio garantii na mwingine akione hivo

la hasha ndo maana unamwona bibie hapo fulu kushangweka.......(aftaroo yeye alikuw aeneo la tukio tofauti na miye niliyeangalia kwa tv)
 
understod!
 
Mi nimeipenda hii ya huyu mdada, yawezekana yori yori! ilimkuna,sasa kwa nini asijiachie? Maisha yenyewe mafupi haya Raha wajipa mwenyewe ati! Wengi wetu tukienda sehemu hizo hata kutabasamu shida,kwani umelazimishwa kwenda? si ungejilalia tu nyumbani kwako.Ingawa sikubaliani nae kwa kuachia mwili ukawa hivyo,mabadiliko yanahitajika.
 
Back
Top Bottom