Nafikiri vitu vinavyochangia huenda sio kitu wanachokipa kipaumbele sana au hivyo vitu wanavyokuja kutalii vipo huko na kwa bei chee!.
Ila sababu kubwa zaidi ni uchumi!, uchumi mkubwa wa china umeshikwa na serikali na sio watu.. huwezi ku compare na aina ya uchumi kama wa mataifa ya ulaya au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.