Recent content by KEIKEI

  1. K

    Tanzania Economic Update 2012 - World Bank Report

    This is "Growth without development". Poor World Bank for manipulating weak nations.
  2. K

    Uzinduzi rasmi M4C: Live toka Gold Crest - Mwanza (Kwa Kanda ya Ziwa)

    Wakilisha mkuu, usisahau kuwabeba wapenda mageuzi wengine
  3. K

    Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

    Jifunze tabia ya kujibu hoja bila kutumia lugha ya kashfa au matusi, hii itasaidia kupima ukomavu wako kisiasa. Unapojibu kwa kashfa na matusi namna hii unatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu maadili yako na uwezo wa uongozi.
  4. K

    Critical Thinking: Hali ngumu ya maisha, Je nini chanzo?

    Sababu ulizoainisha, ukosefu wa ajira na mfumko wa bei ndio za msingi kwa ugumu tunaokabiliana nao kwa sasa. Bahati mbaya hatuoni mikakati ya madhubiti ya kisera kukabiliana na hizi chamgamoto. Sana sana tunaishia kupewa takwimu zakupika!
  5. K

    Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Yale yale ya Muhando na mke wake pale Tanesco! Nchii hii suala la maadili ni janga la kitaifa, Kinana haoni aibu kusimama na kutoa utetezi huu dhaifu! Kampuni ni yake na hivyo anabeba dhamana kwa kashfa zote zinazohussu hiyo kampuni.
  6. K

    Mwalimu alisema....

    Hoja hujibiwa kwa hoja. Dume jibu hoja na uwe tayari kukubali mawazo ya wengine.
  7. K

    Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

    Ni kweli Chiligati karudia kusisitiza hiyo habari Tbc, ila dawa ni kuwakamata na kuwashitaki na siyo kujiuzulu.
  8. K

    North Korea Vs South Korea: A War in the making?

    Huyu Lee Myung-bak amekalia kuti kavu maana uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika siku chache zijazo na wa-korea wanajua vizuri uongo aliyoutengeneza kuhusu kuzama kwa hii meli. Ni wazi kwamba hana muda mrefu na kukumbatia hila za wamarekani.
  9. K

    CHADEMA iko tayari kuongoza?

    Vyama vingi vya kisiasa hapa nchini vimeshindwa kujijenga kama taasisi kwa kuweka mfumo wa kiuongozi ambao unawapa nafasi kubwa na imani kwa wananchi kwamba wakipewa nchi wanaweza kuongoza. Badala ya kujenga taasisi za kichama, vyama vingi vya upinzani na CHADEMA ikiwemo vimejikita kwenye...
  10. K

    Kuwa Makini sana

    Hii ndiyo sababu kubwa ya small businesses nyingi ku-fail, wajasiriamali wetu wengi wanakosa business management skills na hawataki kupata ushauri. Ni vigumu sana biashara ndogo kukua katika mazingira ya namna hii.
  11. K

    Mkulo: Uchumi unazidi kukua

    Hii huitwa "growth without development", ni vipimo vya maendeleo vilivyobununiwa na WB na IMF kwamba maendeleo yaangaliwe kwa percapita income. UNDP utumia human development index kwa kuangalia life expectancy, education, standard of living na hiyo percapita income na ukitumia vipimo hivi ndiyo...
  12. K

    Bank Loan under Shariah Law....!?

    Haya mabenki yamekurupuka ko-offer hii product, na ni wazi ita-fail maana kwa Tanzania mazingira hayako mwafaka ku-operationalize hii kitu hasa mazingira na kibiashara na uwekezaji. More research is needed on this issue.
  13. K

    Je waujua mtandao wa Mezamzunguko wa ma-CEO Bongo

    Hii forum yao imetoa mchango gani kwenye maendeleo ya nchi? These are just rent seekers.
  14. K

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Mkwere ame-panic na anadhihirisha uwezo wake, ni muda mzuri wa Tanzania kumjua huyu bwana kwa undani.
Back
Top Bottom