Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 617
Sasa mzee kama ulikuwemo kwenye hiyo Press Conference ulitakiwa uturushie hali halisi ilivyokuwa badala ya kuanza kulalamika! Weka Video Clip ili tupate habari kamili please!
Angalia JF ilikua live
Sasa mzee kama ulikuwemo kwenye hiyo Press Conference ulitakiwa uturushie hali halisi ilivyokuwa badala ya kuanza kulalamika! Weka Video Clip ili tupate habari kamili please!
exactly....TBC=Together for the Bribe & Crime
Two different persons,I had the benefit of being led by him,the best PM.
mmmmh mbona kashindwa kujiwajibisha yeye mwenyewe huyu laiboni?Yeye si ndie kajilimbikizia hadi kufuru?:noidea::noidea::noidea:
FYI Lowassa sio mmasai,wazazi wake walihamia Monduli kutokea Meru so simply speaking Lowassa ni Mmeru kiasili kuitwa mmasai iltokea baada ya baba yake kuishi vizuri na wamasai pale monduli wakaamua kumfanya ndugu yao,hii story niliipata kutoka kwa mtoto wa mdogo wake na Lowassa.Hivi ni Laibon au Laigwanan? Hebu Wamasai mtusaidie! Na je! Anastahili hicho cheo pamoja na kwamba amechafuka? Yaani, Wamasai mngetusaidia sana kama mngemtenga huyu jamaa kama tunavyowafahamu mlivyo wakali katika kudhibiti mambo yasiyoendana na maadili yenu! Au ufisadi kwenu unakubalika?
Ni kweli Chiligati karudia kusisitiza hiyo habari Tbc, ila dawa ni kuwakamata na kuwashitaki na siyo kujiuzulu.Vyombo vya habari vyote vya Tanzania, ikiwemo magazeti, redio na televisheni, wameamua kwa makusudi kutotoa habari kubwa kuliko yote iliyotokana na kikao cha NEC ya CCM iliyokutana Dodoma juzi.
Habari hiyo ilitolewa kwenye press conference na Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Nape NNauye, ambaye alisema kuwa viongozi wote wa CCM wanaotajwa kwenye tuhuma kubwa za ufisadi ikiwemo Richmond, rada na EPA ni lazima wajiuzulu kutoka kwenye chama.
Hii ina maana moja kwa moja kuwa CCM imewataka Edward Lowassa (Richmond), Rostam Aziz (Richmond, EPA, etc) na Andrew Chenge (rada) wajiuzulu kwenye chama licha ya kutoswa kuwa wanajume wa Kamati Kuu na NEC.
Taarifa zilizopo ni kuwa pesa nyingi zilisambazwa kwa wahariri wa vyombo vyote vya habari kuzuia habari hii kubwa isitoke.
Hata TBC1 hawakuitoa habari hii na walimkatiza kwa makusudi Nape ili sehemu ambao alitoa matamshi hayo mazito isitoke kwenye TV.
Badala yake vyombo vya habari vikarudia harabi za Wilson Mkama kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM na kutoa msisitizo kwa Yusuf Makamba kutoswa badala ya kutoa habari ya Rostam, Lowassa na Chenge kutakiwa kujiuzulu uanachama wa CCM.
Kuna taarifa kuwa CCM mpya ambayo imejitoa kutoka kwenye makucha ya mafisadi wamechukizwa sana na kitendo cha vyombo vya habari Tanzania kununuliwa na mafisadi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Capt. John Chiligati, amelazimika kuongea tena na vyombo vya habari na kusema kuwa wana CCM wanaoshutumiwa na ufisadi wa Richmond na mwingine lazima wakae pembeni ili wasiendelee kuipaka matope CCM.
Angalieni taarifa habari TBC usiku huu saa 2 huenda habari hii sasa ikatoka baada ya uongozi wa TBC kupata karipio kwa kuzima habari ya Nape kuhusu mafisadi kutotakiwa CCM.
. Hahahaha au mnamsema muhingo rweyemamu na mission possible kwenye kampeni za jk. Wahariri wote wala rushwa. Ppf na nssf kuna ufisadi mkubwa lakini wamefungwa minyororo ya lakioneering kwenye hotel za kitalii.mkuu upo hapohawawezi kuhonga milele kila kitu kina mwanzo na mwisho wake hata makaa-mba hakujua kama siku atavuliwa gamba