Kuwa Makini sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa Makini sana

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Malila, May 30, 2010.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  The rich buy assets
  The poor only have expenses
  The middle class buys liabilities they think are assets.

  source: rich daddy poor daddy litreture.

  Sina hakika sana kama wengi tunaangalia nini ni asset na nini liability ktk maisha yetu ya ujasiriamali. Ni ngumu sana kuelezea hili,ila kama unataka kuwa mjasiriamali mzuri ni vema ukajua nini ni asset na nini ni liability.
   
 2. K

  KEIKEI Member

  #2
  May 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo sababu kubwa ya small businesses nyingi ku-fail, wajasiriamali wetu wengi wanakosa business management skills na hawataki kupata ushauri. Ni vigumu sana biashara ndogo kukua katika mazingira ya namna hii.
   
 3. E

  Exav Member

  #3
  May 30, 2010
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Safi sana kwa hii post. According to Rich Dad, Poor Dad, mjasiriamali anahitaji kuwa financially intelligent. Basic foundation ya hiyo financial intelligence inatengenezwa na vitu 4 vifuatavyo:

  1. Financial literacy - the ability to read numbers
  2. Investment strategy - the science of money making money
  3. The market - supply & demand
  4. The law - The awareness of accounting, corporate, state and national rules and regulations
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nilipojitazama mimi kama mjasiriamali niligundua mapungufu mengi,natamani kufikia hatua ya hapo pekundu kama rich dad anavyosema.
   
 5. E

  Exav Member

  #5
  May 31, 2010
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkuu Malila, nakupongeza sana kwa hatua uliyofikia. Mimi siyo mjasiriamali, lakini baada ya kusoma kile kitabu (Rich Dad, Poor Dad) nilitamani sana kuwa mjasiriamali na nimeshaanza polepole kujifunza hivi vitu na kuviweka katika matendo. Kwa kuwa wewe tayari ni mjasiriamali, pata hicho kitabu ukisome chote (kina kurasa 267 tu), naamini utapata mengi ya kukusaidia katika ujasiriamali wako. Kama umeshakisoma, kirudie - assuredly utajengeka.

  Nakutakia mafanikio tele!
   
 6. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60

  hiyo ni kweli kabisa wakuu; pia tukichungulia kidogo na rich dad guide to investing, jamaa anakwambia if u cant read numbers u cant tell whats happening in bizness,jamaa anamaanisha tujue pia na cash flow; niliwahi kuajiriwa kama loan officer kwenye bank moja ya micro finance, nikashuhudia wanaojiita wajasiria mali wasio financially literate, hawajui cash flow,profit - loss,record keeping,re-investing,net - gross margin wanavyotaabika na mabizness yao kufilia mbali. Katika rich dad guide to investing anakwambia " cash flow to bizness is as blood to human being"
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Shukeni shule hapa jamani kwa faida yetu hapa JF
   
 8. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 9. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  point kubwa kaka, mfano mtu anaenda benki anakopa mishahara yake ya miezi 12 then ananunua gari - gari ni liability lakini yeye anaona ni asset. Matokeo yake anakatwa kodi ya mkopo na pia gari lake linahitaji mafuta, services etc..
  Baada ya miaka 3 anapomaliza mkopo benki, gari limechoka na yeye mwenyewe keshakuwa liability.

  Kama umeanzisha kitu na kina generate income let say 60k per day, ukienda benki kopa pesa then make that thing to produce more profit.
   
 10. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
 11. M

  Malila JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimeanza kukisoma,kwa sasa ni miongoni mwa vitabu vilivyo mbavuni mwangu kila niendako. Kupitia hicho kitabu kuna mambo nilikuwa sahihi na mengine nayafanyia polishing.
   
 12. M

  Malila JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndivyo ilivyo huko uswahilini kwetu,Mungu apishie mbali. Tusaidiane ili tusifikie hapo pekundu.
   
 14. Eng. SALUFU CA

  Eng. SALUFU CA Senior Member

  #14
  Jun 1, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli elimu ya Ujasiriamali na utafutaji bado kabisa hapa kwetu, mtu anakopa ili aongeze mke wa pili balance ndo anafanyia biashara aloombea mkopo, tutafika? Watu wanahitaji elimu zaidi kuliko pesa. Sisi tunatakiwa tutumikiwe na pesa na sio pesa itutumikishe sisi kama alivyo narrate rich/poor daddy.
   
Loading...