Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

Esther Wasira: Viongozi Waache Kutoa 'Cheap Answers'

Status
Not open for further replies.
Dose aliyokumbana nayo lemutuz leo ilikuwa ya kumtosheleza hadi kaamua "kukimbia" ili arudi kwa mlango wa uani(ID nyingine), na hapo alipo anafuatilia mjadala kwa mlango wa uani.

Kama alivyosema mdau mmoja kwamba ukimkuta chizi anakunya kwenye veranda ya nyumba yako ukamuacha wewe ndiye utakuwa chizi, sasa kwa mwendo huo ni lazima huyu kilaza lemutuz apigwe za uso kila mara atakapoleta zake za kuleta hapa JF.

Ni ajabu sana kwamba mtu aliyeshindwa kufaulu japo mtihani wa kidato cha nne tu, akaungaunga katika vyuo vya polisi jamii huko marekani anaweza kuthubutu kunyanyua mdomo wake kumsema graduate wa sheria, tena graduate wa sheria toka katika chuo kikuu cha Dsm.
Sio za uso tu, za macho kabisa. Ajitambue vizuri na kauwezo kake kadogo.
 
mwanajamii na mwanaharakati esther wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa bongo flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea watanzania ili wapate maisha bora yenye neema.

Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa chadema hata kama ukoo wake upo ccm, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa chama cha chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.

Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama rushwa, uwajibikaji, ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.

Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.




chanzo: Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers' | Bongo5

ombi: Baada ya malecela le mutuz kuleta malumbano na kujinasibu kuwa yeye ana uwezo mkubwa na kumwita esther wasira kilaza, naomba kuwaalika wote wawili katika debate hapa jf. Esther amethibitisha, e mutuz upo tayari ili tukubaliane muda?


Majibu ya esther wasira kwa hoja za w.j. Malecela a.k.a le mutuz haya hapa:

waaapi le mutuuzzzzz njo sasa ule za uso chezea ester wewe watu wazalendo bhana huwezi wakuta wanajisfia au wanatukana ovyo wanaacha matendo yaongee...... Loooh kaka mkubwa chaliiii
 
Last edited by a moderator:
Na kesho hii habari itakuwa kwenye magazeti sijui atajificha wapi ule mzee.
Sijawai ona Baba anashindana na Mwanae na mwisho Baba anaoekana hajui kitu hahahah
Jamaa kamzidi Esther Wassira miaka 29 ila kazidiwa akili na Esther aibuuuuuuu
 
Kuna mtu amepotea jamani tunamtafuta sana. Le Mutuz, where are uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu?
 
Ila bwana mdogo nimegundua kuwa wewe ni makutu kabisa. Yaani umeingia kwenye mtego kirahisi hivi. Ona sasa unavyojivunjia heshima. Mwenzako ester ni mjanja amejibu hoja kijanja. Tumepima majibu yenu vizuri kabisa. Ninakutakia siasa njema bwana mdogo.
Mimi nilisoma na kaka yako Marehemu Ipiana Highland Iringa.

- Yaani Uwanja wa Dunia kama huu wenzako tunapitisha agenda za vyama vyetu, wewe unaandika pumba kama hizi? huna mission huna goal wewe ni kuandika bora liende tu kama kawaida ya chama chako, wewe kuwa na mission hapa sisi tunakuja hapa kukupa makavu live maana mmezoea kudanganywa nyie, huyu dada sio kiongozi wa anything ni ana jina tu la waziri wassira!!

- Ok I am done here maana hakuna competition, so ngoja nitafute thread nyingine iliyokufa niifufue!!

Le Mutuz!
 
Unamdanganya nani, labda Le Mutus Janga la taifa.

Mkuu,
bandiko langu lina pande nne za hitimisho. kukubaliana, kutokubaliana, kufikiri ni uongo na kutofikili ni uongo.

Nashukuru ujumbe wangu umefika na uka udadavua kwa kadri ya uwezo wako na kuhitimisha kuwa ni uongo na ukamtambua anayedanganyika kirahisi ni Le Mutus Janga la taifa.

Huu ndiyo uzuri wa demokirasia ya kukubali kutokubaliana hasa pale ujumbe unapofika na kueleweka.
 
Yaani ukiangalia majibu aliyo kuwa anatoa ndio utajua jinsi alivyo panic! Yaani jibu moja tuu jamaa chaliii ana baki kurudia sentensi hilehile! Yaani huyu hata waliomchagua wakiona jinsi anavyo jibu hoja nafikiri watatoa machozi!

Kwakweli Ester kamjibu vizuri kabisa tena kwa busara na kwa kumheshimu juu maana ni mkubwa wake na hakika will ameona majibu na akashiba kabisa na ushauri amepewe mpya kabisa!

akirudi tu aweke transcript zake kwanza hapa tusije kuta twabishana na mtu aliyekuwa anawatesa hata walimu wake kumuelimisha tukapoteza nguvu zetu buure. maana kwa msomi na muelewa SOMO la EASTER kwa LE mutuz haliihitaji hata tuition kulielewa.
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!
Napata hisia kuwa mwili,umri na elimu yako si vyako posibly ulinunua vyeti kama kawaida yenu watoto wa vigogo.Mtu mzima na wa umri wako tunategemea kuja kuvuna busara lakini kwako ni tofauti sana kiasi napata shida.kiala siku ni ugomvi na watu hivi hata kama ni pepo basi wako ni pepo mchafu sana kakuingia.Namheshimu sana mzee J.W.Malecela si kwa sababu kakuzaa wewe lakini kwa ustaarabu wake.Anafahamu siasa na kwa kweli nikiwa na shida ya kuchota busara zake yule ni mtu sahihi wa kuchotea maarifa.

Sijawahi kujua kama umekaa ughaibuni kwa miaka mingi na kusoma vtyuo mbalimbali halafu ukawa na uelewa mdogo kiasi hicho,je ungesoma elimu yetu hii ungalikuwaje?Tungeendelea kukufuta kamasi at your age sivyo?!Kaa na jitafakari upya mkuu then ujifunze namna ya kuishi na watu na huyo roho mtakavitu mkane anakuabisha kaka.
 
- Nimeuliza hivi huyu ni Kiongozi aliyechaguliwa na nani? Au ndio yale yale mambo yenu ya kupenda majina ya Viongozi wa CCM, kwa sababu Wassira ni jina la Baba mkubwa wa huyu Sister, na Wassira ni Waziri wa CCM, maana yake ni kwamba kumbe mnazimika majina ya Viongozi wa CCM, ndio maana mlikuwa mnaniomba sana nije huko, nimewatolea nje siwezi kujiunga na chama kisichokuwa na consistency!

- I mean siku moja mnalia CCM ina watoto wa Vigogo, hapa mnakumbatia mtoto mwenye jina la kigogo wa CCM, so kumbe mnalia kwa sababu ya kuwakosa watoto wa Vigogo wa CCM,

- Sasa wait huyu Ester sasa hivi anakumbatiwa, ajaribu tu kusema anataka kugombea urais, utaona atakavyopigwa mawe kwamba ni msaliti, maana hiyo nafasi yakugombea Urais na Mwenyekiti wa Chadema, ni lazima wawe Viongozi wawili wanaoshindwa kila uchaguzi, Slaa na Mbowe tu!!

- Waambieni Startv nikutane na huyu kilaza wenu, nitamchana mpaka mtalia na yale maswali yenu ya pumba pumba, last time nilikua NAtional TV, ninajadili ishus serious kwa Taifa, Taifa zima linanisikiliza wakasema sasa maswali toka JF, yaani ilikuwa aibu sana maswali yote ni kwa nini siku hizi hingii JF, ohhh kwa nini siku hizi umetoka JF, yaani rubbish tupu!!



LE Mutuz!!

Jifunze tabia ya kujibu hoja bila kutumia lugha ya kashfa au matusi, hii itasaidia kupima ukomavu wako kisiasa. Unapojibu kwa kashfa na matusi namna hii unatufanya tujiulize maswali mengi kuhusu maadili yako na uwezo wa uongozi.
 
kipi cha ajabu kwa Esther Wasira kuwa mbunge wa viti maalumu kaka? Kama wewe umeweza kuwa mjumbe wa jumuiya ya wazazi na we have never heard any sensible comments from you, why not Esther? Who proposed u to join chadema? what so special in you , mpaka uamini chadema wanapata shida kutokuwa na wewe? hivi kutembelea nyota ya baba nacho ni kitu weza tamba mbele za watu? Besides that surname which makes u big headed, what else can you be proud of? Beat Esther kwa hoja na si mipasho kama ya taarabu! prove to us that she doesnt deserve to be MP! Kama vilaza wote wale waliojaa bungeni ambao kazi yao ni kupokea posho , kupiga makofi na kuzomea wabunge wa chadema wakiongea nao ni wabunge, of course most of Tanzanians can also be, including Esther. HIVI UKAME WA VIONGOZI UKO CCM AU CHADEMA? ccm haiwezi fananishwa na chama chochote duniani kwa kukosan dira na maamuzi, still wewe kaka unaona vacuum ipo chadema! Chama hakijengwi na PROPAGANDA ZA KIZAMANI; BALI KWA VISION NA MATENDO!
CCM dnio wana ukame wa viongozi,watu waliisha jistaafia miaka mingi wako wanalima nyanya Makambako leo mnawabembeleza na kuwapap madaraka ya juu kwenye chama,wengine tayari walikuwa na biashara zao za nyara za serikali lakini mmewabembeleza warudi tena kwenye uongozi wa juu wa chama,sitashangaa kabla ya 2015 mkimrudisha baba yake na January,sasa hvi manokoteza madiwani waliofukuzwa Arushana kuwaomba waangue machozi kwenye majukwaa,shame on you
 
- Jamani with all due respect, naomba kuuliza huyu Dada ni Mbunge? Ni Kiongozi aliyechaguliwa na wananchi? Au ni self appointed Leader? I mean kumbe na huko Chadema basi mnapenda majina ya baba maana huyu Sister sio Kiongozi, hajachaguliwa na anybody!

- Sasa mbona Chadema mnamshobokea sana? Yaani unaona tatizo lenu Chadema vacuum ya Viongozi, sasa hata Mdada akijitokea ana jina la Wassira huyoo anapewa platform kwamba eti Mwanaharakati? duh!!

- UKAME WA VIONGOZI GENUINE UNAWATESA SANA KUMBE NDIO MAANA MLIKUWA MNALILIA NIJE HUKO? HA! HA! PHEW! LICHAMA LA MEDIOCRE MAANA SASA HATA HUYU SUBIRI KIDOGO TU UTASIKIA NI MBUNGE WA VITI MAAALUM!1 HA! HA! HA!

Le Mutuz!!

Jibu hoja za mdada huyo we mzee sio kukimbia kuattack watu. Jibu hoja baba, hili lako limekuganda.
I once told u Willie, U better find some other things to concentrete on, as in politics u dont fit anywhere, instead you are just spoiling your father's good name! Labda unaeza kufit kwenye uigizaji, uwe karibu na mabebs u know.. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Kwa kweli kwa sasa sidhani kama kuna mwanasiasa mwanamke Tanzania mwenye uwezo na ujasiri kama Esther. Chadema nadhani huyu anastahili kitengo muhimu ili akitumie kuwajaza wanawake ujasiri. Nadhani hata kitengo cha propaganda kinamfaa sana!

Apewe BAWACHA imepooza!
 
dah, mkuu umeua sana, angalia kwenye facebook ameweka picha ya nyumba yake anayojenga

Sasa hizi nyumba za kujengea uzeeni si ndio zitaleta matatizo ya mirathi akifa?.
Ushauri wa bure, asisahau kuandika wosia.
 
- hA! ha! ha! ha! ha! Demokrasia bwana na hii imeandikwa na Great Thinker! ha! ha! ha! ha1 ha!, uko tayari kuongozwa na Sister asiye na lolote zaidi tu ya kuwa mtoto wa WAssira!! ha1 ha! ha!

Le Biig Shoow!!

We jamaa bhana maneno unayoongea na miaka yako 54 nashindwa nikuweke kwenye group gani. Sijui chanzo cha ugomvi wako na Esther ni nini au mlinyimana/kudhulumiana kitu gani lakini kusema kweli unaongea kama mtu ambaye hana busara. Angalia mdada alivyojibu kwa hoja. Kakuchambua kama chenga kwenye mpunga, kakugeuza kama samaki kikangoni alafu kakumimina kama tui kwenye chujio. Badala hata uje na majibu yenye akili, unakuja na hoja zako kama wanasiasa wazee unamshambulia. Kaka, hebu kuwa kama mwanaume. Ugomvi na wanawake sio kabisa hasa kwa wewe unaejiita mwanasiasa, gombana na hoja sio watu.
 
w.j malecela, mgombea aliyekosa uungwaji mkono kugombea ubunge E.africa,
swali kwako "kwa nini watoto wa shule wanapata mimba wakiwa mashuleni?"
wazee wa majibu mepesi

"kwa sababu ya viherehere vyao" source J.M.Kikwete
 
Le Mutuz,siku nyingine jipange,siasa za leo zina wigo mpana,hivyo kuwa na weledi na mitizamo chanya ni vitu muhimu katika ulingo wa kisiasa,lakini wewe hata jinsi unavvyojibu hoja,inaonesha jinsi gani waliokuchagua walikuwa wanalinda heshima ya mzazi wako na siyo uje kukitumikia chama chenu,kilichopoteza dira kwa jamii ya kitanzania.Hivyo basi wewe ni mmoja wa wanasiasa uchwara mnaotumia majina ya wazazi wenu,kupata nafasi ndani ya vyama vya siasa.
 
Jibu hoja za mdada huyo we mzee sio kukimbia kuattack watu. Jibu hoja baba, hili lako limekuganda.
I once told u Willie, U better find some other things to concentrete on, as in politics u dont fit anywhere, instead you are just spoiling your father's good name! Labda unaeza kufit kwenye uigizaji, uwe karibu na mabebs u know.. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!


- wELL, nilikuwa kwenye kazi za ujenzi wa Taifa, nimepata ujumbe hapa ngoja niusome, Dada Wassira nakusoma kwanza and then nitakupatia majibu nipe muda kidogo nikusoem kwanza!!

Le Mutuz!!
 
@W.J. Malecela wewe ni janga la kitaifa najiuliza what value are you adding to CCM au ndo umekuja kuizika kabisaa. Ester Wassira huyu jamaa si saizi yako, nashauri iwe ni mara ya mwisho kumjibu! Hana sifa hata moja kiongozi, ana sifa za kuwa mwana CCM tu.
 
Last edited by a moderator:
Mwanajamii na mwanaharakati Esther Wassira ameongea na bongo5.com na kusema kwa sasa hatofanya tena muziki wa Bongo Flava kibiashara na badala yake atajikita kwenye Siasa ili aendelee na harakati za kuwatetea Watanzania ili wapate Maisha bora yenye neema.

Akizungumza katika mahojiano maalumu ambayo utapata fursa ya kuyaangalia hapa chini, Mbunge huyo alisema sababu kubwa ya yeye kuchagua kuchukua uanachama wa Chadema hata kama ukoo wake upo CCM, ni baada ya kufanya uchunguzi na kugundua kuwa Chama cha Chadema kinaonekana kina nia njema na ya dhati ya kuwakomboa na kuwaletea mabadiliko watanzania.

Kwa kifupi, katika mahojiano hayo ameongelea mambo mengi yanayohusu mustakabali wa watanzania, kama Rushwa, Uwajibikaji, Ufisadi, uongozi thabiti, uzalendo, na pia aligusia kama atafanya nyimbo basi ni ya kwaya.

Angalia mahojiano hayo hapa chini kufahamu kwa undani, ameyaongeleaje masuala hayo.




Chanzo: Video: Esther Wasira- ‘Viongozi Waache Kutoa Cheap Answers' | Bongo5

Ombi: Baada ya Malecela Le Mutuz kuleta malumbano na kujinasibu kuwa yeye ana uwezo mkubwa na kumwita Esther Wasira Kilaza, naomba kuwaalika wote wawili katika debate hapa JF. Esther amethibitisha, e Mutuz upo tayari ili tukubaliane muda?


Majibu ya Esther Wasira kwa hoja za W.J. Malecela a.k.a Le Mutuz haya hapa:


- Ok kumbe Bongo Flava huyu Ester Wassira sikujua hilo, ok now let me read the whole thing!!

Le Mutuz!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom