Tanzania Economic Update 2012 - World Bank Report

Informer

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Messages
1,322
Likes
3,195
Points
280
Informer

Informer

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2006
1,322 3,195 280
 • Tanzania stands out as a model of sound economic performance with a growth rate of over six percent in 2011 and 2012
 • The fiscal deficit declined in 2011/12 for the first time in four years to five percent of GDP
 • Despite these successes, growth has failed to impact those who make up 80 percent of the country's (mostly rural) population
The Updates finds that:

 • In economic terms, Tanzania was a rock of stability in 2011/12, recording solid growth and strengthened fiscal discipline despite increases in the rate of inflation.
 • Tanzania's economic prospects look positive over the period for 2012-14 when its GDP is forecast to grow at a rate of 6.5 - 7.0 percent. However, the threat of exogenous risks cannot be ignored.
 • In 2012/13, fiscal policy will remain the main instrument to promote economic growth, through the combination of higher spending and an increasing shift towards expenditure on infrastructure.
 • To ensure fiscal and debt sustainability and the optimal use of public resources, close monitoring of public accounts is required, including of public agencies and enterprises operating in the energy sector.
 • Over the next few years private sector's expansion is expected to remain biased toward capital-intensive sectors with the exception of the construction sector which will benefit from the Government's infrastructure program and from increasing FDI in the extractive industries.
 • Tanzania's macroeconomic success has not been felt by the majority of the rural population that is still living in extreme poverty.
 • Successful rural economies such as Malaysia and Vietnam, have implemented systems to connect their farmers to markets. To facilitate growth and equity, they have also encouraged the cultivation of high-value, non-traditional crops and developed off-farm activities. They have also managed migration flows toward urban centers.

Some key notes:

- 96.6% of the rural households do not have electricity
- 99.2% of rural households in Tanzania do not have refrigerators
- 96.4% of rural households in Tanzania do not have televisions
- About 96% of Tanzania's rural households do not have vehicles
- About 92.8% of Tanzania's rural households do not have bank account

By living in urban, a Tanzanian household has:
- 4.4 times more chances of using an improved pit latrine
- 10 times more chances of completing secondary and higher education
- 12 times more chances to get a wage employment
- 5.4 times more chances of having a bank account
- 2.7 times more chances of accessing piped water
- 13 times more chance of being connected to national electricity grid

* In 1970s and 1980s, Malaysia & Vietnam looked like Tanzania

* The level of per capita agricultural production in Tanzania has remained stagnant since 1970

* Tanzania Authorities need to adopt a universal strategy that cuts across sectors and locations

* Tanzania govt should encourage farmers to think beyond traditional crops by moving toward high value products

* It's estimated that 80% of citizens are poor!

* Tanzania is a macroeconomic success story which has not yet translated into improved conditions for rural households

Download the report here - Tanzania Economic Update
TANZANIAimeendelea kuwa ni miongoni mwa nchi 48 katika Bara la Afrika ambazo zimeainishwa na Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuwa katika kundi la Nchi Maskini Sana Duniani (LDCs).

Aidha katika upokeaji wa fedha kutoka kwa Watanzania waishio nje ya nchi, Tanzania inapokea dola milioni 4.5 kutoka Uingereza, dola milioni 3.2 kutoka Canada wakati kutoka Kenya ikipokea dola milioni 2.5 kwa mwaka 2011.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, nchi zingine masikini sana duniani kwa mwaka huu ni Angola, Benin, Burkina Faso, Burundi, Afrika ya Kati, Chad, Komoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Djibouti, Equatorial Guinea, Eritrea na Ethiopia.

Nchi nyingine ni Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Lesotho, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Msumbiji, Niger, Rwanda, Sao Tome na Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Togo, Uganda, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zambia; Kuhusu kuhama kwa utaalamu, Ripoti ilifafanua kuwa idadi ya Watanzania waliohamia Uingereza kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2000 ni 10,535.

Ilielezwa kuwa mtu mmoja kati ya kila watu watatu wenye ujuzi mkubwa (mwenye elimu ya chuo kikuu) kutoka LDCs anaishi ng'ambo.

Aidha theluthi mbili ya wahamiaji wenye ujuzi mkubwa kutoka LDCs wanaishi kwenye nchi zilizoendelea; theluthi moja wanaishi katika nchi zinazoendelea na kiwango cha kuhama kwa watu wenye ujuzi kwenda ng'ambo ni kikubwa kwa asilimia 20 na kwa LDCs nyingi ni kati ya asilimia 30 kati ya 48.Source: HABARI LEO
 
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Likes
18
Points
135
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 18 135
Kweli kama ni maendeleo basi sisi ni Bure kabisa. CCM hii inayowaza kutawala kama wafalme bila kuleta kitu
 
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
4,058
Likes
403
Points
180
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
4,058 403 180
Naomba ufafanuzi kidogo kwenye haya masuala kabla sijatia neno..

The fiscal deficit declined in 2011/12 for the first time in four years to five percent of GDP
Unaweza kutumia lugha rahisi kidogo hapa, kwa mfano nini maana ya 4.4 times more chances? Kwamba kwa kila mtu mmoja mwenye pit latrine huko rural kuna watu 4.4 au?
By living in urban, a Tanzanian household has:
- 4.4 times more chances of using an improved pit latrine
- 10 times more chances of completing secondary and higher education
- 12 times more chances to get a wage employment
- 5.4 times more chances of having a bank account
- 2.7 times more chances of accessing piped water
- 13 times more chance of being connected to national electricity grid
 
Nyunyu

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Messages
4,373
Likes
136
Points
160
Nyunyu

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2009
4,373 136 160
Hapa ndipo ninapopenda manguli wa siasa za chama tawala waje humu tuzungumze! Toka safu mpya ya sekretarieti hadi watendaji wakuu wa serikali. Prof wangu Ndullu et all.

Tukiwaambia wanachofanya ni kufurahisha IMF na WB wanasema wivu wa kike!!! Kinachoniuma zaidi wale wanaofall katika 80% ya masikini TZ hawataona wala kusoma hii article, and that is why they are relaxed!! Wanajua they installed in us ujinga kwa kutoa poor education, kinachofutat is to sit back and relax in ruling maana hatuna ujanja wa kuwatosa kwa ballot!!!:A S angry:
 
3squere

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
928
Likes
12
Points
35
Age
30
3squere

3squere

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
928 12 35
TANZANIA imeendelea kuwa ni miongoni mwa nchi 48 katika Bara la Afrika ambazo zimeainishwa na Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuwa katika kundi la Nchi Maskini Sana Duniani (LDCs).

Aidha katika upokeaji wa fedha kutoka kwa Watanzania waishio nje ya nchi, Tanzania inapokea dola milioni 4.5 kutoka Uingereza, dola milioni 3.2 kutoka Canada wakati kutoka Kenya ikipokea dola milioni 2.5 kwa mwaka 2011.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, nchi zingine masikini sana duniani kwa mwaka huu ni Angola, Benin, Burkina Faso, Burundi, Afrika ya Kati, Chad, Komoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Djibouti, Equatorial Guinea, Eritrea na Ethiopia.

Nchi nyingine ni Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Lesotho, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Msumbiji, Niger, Rwanda, Sao Tome na Principe, Senegal, Sierra Leone, Somalia, Sudan, Togo, Uganda, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zambia; Kuhusu kuhama kwa utaalamu, Ripoti ilifafanua kuwa idadi ya Watanzania waliohamia Uingereza kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2000 ni 10,535.

Ilielezwa kuwa mtu mmoja kati ya kila watu watatu wenye ujuzi mkubwa (mwenye elimu ya chuo kikuu) kutoka LDCs anaishi ng'ambo.

Aidha theluthi mbili ya wahamiaji wenye ujuzi mkubwa kutoka LDCs wanaishi kwenye nchi zilizoendelea; theluthi moja wanaishi katika nchi zinazoendelea na kiwango cha kuhama kwa watu wenye ujuzi kwenda ng'ambo ni kikubwa kwa asilimia 20 na kwa LDCs nyingi ni kati ya asilimia 30 kati ya 48.Source HABARI LEO
 
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
619
Likes
53
Points
45
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
619 53 45
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
naisifu saana serikali yangu imetengeneza mtaandao wa barabara nchi nzima!
ujenzi u/taifa chuo kikuu cha Dodoma ni baadhi tu ya mafanikio ya serikali!!
ikumbukwe hata uwepo wa foleni za magari katika jiji la dar es salam ni dalili tosha ya maendeleo! bila kusahau treni za mwakyembe
 
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
5,654
Likes
35
Points
145
H

Honolulu

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
5,654 35 145
Kila kitu Tanzania ni kuchakachua tu!!! Hakuna takwimu za uhakika bali uongo tu!!!!!
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
641
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 641 280
Kila kitu Tanzania ni kuchakachua tu!!! Hakuna takwimu za uhakika bali uongo tu!!!!!
uongo ni upi? kwamba hayo maendeleo hayajawa reflected kwenye maisha ya watanzania au kwamba kuna economic growth au vyote?
 
Mzalendo JR

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
1,191
Likes
187
Points
160
Mzalendo JR

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
1,191 187 160
STORY HIGHLIGHTS

 • Tanzania stands out as a model of sound economic performance with a growth rate of over six percent in 2011 and 2012
 • The fiscal deficit declined in 2011/12 for the first time in four years to five percent of GDP
 • Despite these successes, growth has failed to impact those who make up 80 percent of the country’s (mostly rural) populationDAR ES SALAM, November 1, 2012—The Tanzania Economic Update is a biannual series aimed at fostering constructive dialogue between stakeholders and policymakers about the state of Tanzania’s economy and stimulating debate on the country’s essential economic issues.
This issue of the Update focuses on how to achieve structural transformation of the rural economy so that rural households, and not just those living in urban areas, can benefit from the country’s remarkable growth performance.
The Update points to three forces that have the potential to produce transformational impact in Tanzania: agricultural commercialization; diversification toward high value products and off-farm activities; and migration toward urban centers.
The Updates finds that:

 • In economic terms, Tanzania was a rock of stability in 2011/12, recording solid growth and strengthened fiscal discipline despite increases in the rate of inflation.
 • Tanzania’s economic prospects look positive over the period for 2012-14 when its GDP is forecast to grow at a rate of 6.5 - 7.0 percent. However, the threat of exogenous risks cannot be ignored.
 • In 2012/13, fiscal policy will remain the main instrument to promote economic growth, through the combination of higher spending and an increasing shift towards expenditure on infrastructure.
 • To ensure fiscal and debt sustainability and the optimal use of public resources, close monitoring of public accounts is required, including of public agencies and enterprises operating in the energy sector.
 • Over the next few years private sector’s expansion is expected to remain biased toward capital-intensive sectors with the exception of the construction sector which will benefit from the Government’s infrastructure program and from increasing FDI in the extractive industries.
 • Tanzania’s macroeconomic success has not been felt by the majority of the rural population that is still living in extreme poverty.
 • Successful rural economies such as Malaysia and Vietnam, have implemented systems to connect their farmers to markets. To facilitate growth and equity, they have also encouraged the cultivation of high-value, non-traditional crops and developed off-farm activities. They have also managed migration flows toward urban centers.
Rather than minor adjustments, fighting rural poverty in Tanzania requires a major policy shift that involves: (i) agricultural commercialization; (ii) diversification; and (iii) urbanization. The challenge for Tanzanian policymakers is to stimulate these three transformational forces and to manage them appropriately over the long-term.

Tanzania Economic Update: From Growth to Shared Prosperity
 
T

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
1,367
Likes
3
Points
135
Age
45
T

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
1,367 3 135
Kweli kama ni maendeleo basi sisi ni Bure kabisa. CCM hii inayowaza kutawala kama wafalme bila kuleta kitu
Angalia Tanzania inalinganishwa na nchi ambazo zinaspend kwenye vita na migogoro kibao.IT IS EASY TO FIGHT A PHYSICAL WAR THAN A MIND WAR OF TANZANIANS.
 
K

KEIKEI

Member
Joined
Jun 17, 2009
Messages
24
Likes
0
Points
0
K

KEIKEI

Member
Joined Jun 17, 2009
24 0 0
This is "Growth without development". Poor World Bank for manipulating weak nations.
 
Forum statistics

Threads 1,239,129
Members 476,369
Posts 29,343,548