Recent content by keff

  1. K

    Rose muhando aipasua ndoa ya alex msama

    ni mara chachje sana kwa wabongo kusema ukweli
  2. K

    Vicky Mtetema & Flora Nducha wa BBC Waula!

    Sio tetesi ni habari za kweli
  3. K

    Ipi Bora kati ya hizi tatu

    nitkujbu kesho
  4. K

    Waziri wa Mkapa amshukia Kikwete ataka CCM imtose 2010

    hawa wote walikuwa serikalini na mambo bado yalikuwa mabaya na rushwa ilikuwa kubwa,ni kwa sababu wamenyang'anywa tonge mdomoni sasa wanatapatapa,pia hawa walikuwa against kikwete na hata salim mwenyewe yuko against kikwete kwa namna moja au nyingine ni lazima watamponda kikwete,mbona wao...
  5. K

    Kuporomoka kwa magazeti ya Rostam

    bongo hakuna uandishi habari wa uhakia ni kuganga njaa tu
  6. K

    Jide na Gadner acheni hizooo!

    mimi ni mkristo lakini sasa hivi nipo makkah kwa mapumziko mafupi,mtasema vipi?
  7. K

    Jide na Gadner acheni hizooo!

    mbona wabongo mnakuwa hampendi wanayofanya wenzenu,kwanini hamuwaelezi wageni wanaokuja kutalii kwetu wasiweke pesa zao badala ya kuja huku nyie mnawaona jide na Gardner tu?acheni wivu,je kwa mimi ambaye niliamua kwenda vacation makkah mtasemaje?
  8. K

    East Africa Fibre Optic Cable: Connectivity, issues & progress

    hayo makampuni baadhi ya mafisadi ni wakurugenzi na wenyeviti wa boards tuwe makini wanaweza kufanya njama SEACOM ife
  9. K

    Misemo na Maneno ya zamani

    kishtobe, raba mtoni, kwa mama,(uk) unyamwezini(USA) nyapu, pipa(ndege)
  10. K

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    tupatie huo waraka ili tuujadili na sisi wabongo tuliopo huku nje ya nchi
  11. K

    Nani ni mmiliki wa Channel 10?

    mtu wa manzese hawezi kumiliki vyombo vya habari,lazima mafisadi wamiliki ili wazibe ulaji wao
  12. K

    Taarab ZIMEPOTOSHWA au kulikoni?

    ni kawaida ya sanaa yoyote kuburudisha,kukosoa na kufundisha,taarabu iwe ya kisasa au ile ya zamani ni sanaa inyofanya hivyo ila taadhira ndyo inayoharibu ujumbe na maudhui yaliyomo kwenye nyimbo za taarabu,kwa mfano haya yanapotoshwa mno sehemu za uswazi kwani ni vigumu mno kwao kutafsiri...
  13. K

    Hongereni NSSF kwa kufanya hivi

    wanajua polisi hawatawapelleza kwa ufisadi wao wa kula mafao ya waliokufa na wasiodai
Back
Top Bottom