Misemo na Maneno ya zamani

Chekibobu;
Kudeku(kuchungullia/kuona)
changuku
denti
buga
raizoni
kunyoa panki
bolingo
suruali ya michael jacksoni
mokasi(viatu vya zamani au yeboyebo ya zamani)
ndura
puma
 
shegi (mnyoo wa nywele)
skuna= viatu vyenye chuma chini
mashati ya bahama
tinabuu = suruali za mbano juu
pensi = kaptula
belon = tshirt
mtindiga = mshamba
wowowo = ****** makubwa
Nunda, kingwangwa, kijeba = mfupi
damu damu = rafiki wa karibu
Mitikasi = shughuli
Mjani = pesa
mizengwe = upumbavu
Mnoko = mkali
mshua = baba
Mkuda = mkali
Michuzi = pesa
jua kali = shida
kuingia mtini = kupotea/kuondoka
kupigwa kibuyu = kukataliwa
kuzengea = kutongoza
No sweti = hakuna neno
Nyapu = msichana
 
Last edited:
mwendo wa kuruka = bei ghali
Valuvalu = ovyo ovyo
kumbalala = kupiga kona kali
 
kishtobe = mpenzi
kikwapa = mpenzi
changu doa = watoto wa mitaani -> malaya
figa belti = mikanda mikubwa ya kinadada
kipedo = suruali iliyoruka (fupi)
bwanga = suruali pana chini
kokoko = kiatu cha kisigino kirefu
puto = chupi kubwa lenye mipira
VIP = chupi ya kiume
kundonda = kuzengea vya/kwa watu
kusololea = kwenda kwa watu kwa ajili ya kitu flani
tapo = mchezo wa kujificha
kinibu, kijeti = kipimo cha gongo
tiGo = kampuni ya simu
 
Mambo waaa - mambo safi
Michuzi - Pesa
Kumtoa Pii - kumwomba hongo (hasa kwa ma-askari)
Dukinaa - babu kubwa
 
Njiwa: suruali fupi
REO/katambuga: sandals za matairi ya gari
diesel: pilau
crew: mbabe
 
guruwe= a car, mostly pouget (sp) 504
mtumba also an imported used car

Scania=wowowo

kitembo- Ten shiiling note
 
Last edited:
Mchizi
Bugaluu
Bitozi - Babu Kubwa
Kafiri - Babu Kubwa
Njagu - Askari
Gongesha/Pasia - kugongesha mikono
Manzi - Mpenzi
Kishtobe - Makalio
Macho Bulb - Kuangalia watu kwa umbea
Shingo Feni - Kuangalia angalia watu ukifuatisha shingo kwa umbea
Mwanangu - Rafiki
Ulimi Juu Ulimi Shini - Return Ticket
Pipa - Ndege
Tenga - Meli
 
Back
Top Bottom