Recent content by kayuyuva D

  1. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Daaaaah kuna watu Wamepitia njia hatari sana, achana naye Fanya maamuzi ya kiume, MUNGU hawez kuwa upande wako kila siku
  2. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mpenzi nikifanya naye mapenzi leo, kesho anataka tena

    Duuuuuuh hakupi hata muda wa kupumzika, Mapenzi sio vita na mueleze atakuelewa kuwa na aache kuzila
  3. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Tofauti na hasara za kuruka nje kwa Kikwete na press conference za Magufuli

    Duuuh kazi ipo
  4. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

    Pole mkuuu ila mm nakushauri ukimbie kwa sasa maana kwa usawa huu utapigwa mvua 30
  5. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Pole mkuuu jikaze achana naye huyo sio mwaminifu et
  6. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Haha haha daah umenifurahisha Sana toka msingi ukiwapa pencil hawarudish et
  7. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Mfamasia na madawa

    Hv mtu wa CBG anaweza kusoma phamarcy?
  8. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Natafuta joining instructions ya Tukuyu school of nursing

    Daaaaah Hongera ila tukuyu baridi ila utafurahia ndizi na maziwa yapo sehemu moja Inaitwa ushirika
  9. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Zawadi ipo kwa ataeweza hili swali

    Aaaaaaaaah Sasa mm nmechoka kuitafuta x nilianza shule ya Msing had leo
  10. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Nilivyokoswa kuuawa, kaka yangu akamuua Bibi mchawi aliyemuua kaka yetu na kutoroka

    Daaaaah simulizi tamu Sana hiyo, nmeipenda visa na mikasa
  11. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Natafuta

    Duuh hapo kazi ipo
  12. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumpenda Miss Natafuta

    Duuuh hapo kazi ipo sasa
  13. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Kama waliohukumiwa kunyongwa hawatanyongwa mauaji yataongezeka

    Duuuh , kunyonga mtu haiko pouwa sanaaa
  14. kayuyuva D

    JamiiForums Tanzania Hahahaaaaa

    Teh..teh..et Uncle atakumeza
Back
Top Bottom