kayuyuva D
Member
- Sep 1, 2017
- 16
- 6
Aaaaaaaaah Sasa mm nmechoka kuitafuta x nilianza shule ya Msing had leo
ngoja nikitulia sehemu nzuri nitaisolve niweke hapa, nikishindwa siweki.Guys acheni maneno wekeni njia na jibu
Acha upunguani hawa jamaa hawalipi atazifike dola 1000 huwezi kuzidraw ever, faida utakayopata ni kutumiwa scam mails maana umewapa email yako na kama unatumia PC wakuhack kbsa.Ukiingiaa kwa kubonyeza hyo link itakupeleka kwenye hyo page nenda sehemu ya registration then ukijisajili utaanza kuitumia hapohapo ni rahisi kuna namba zitakua zinakuja kwenye screen yako utakuwa unazirudia kuziandika then unabonyeza continue kila ukibonyeza continue dollars zinaongezeka kwa 0.1 cent ukitumia nusu saa utafikisha hadi dollar 50 ambayo ni sawa na laki na kumi(110000) jaribu kuliko kutumia Masaa Facebook , whatsapp na instagram bora kufanya kwa kujitengenezea pesa
Ukishajiunga, download application kwa jna la blockchain, then utajaza details zako na namba yako ya simu kupokea mpunga wako chap
Viewing payed advertising sites webmoney.host - Welcome!
Au
https://goo.gl/4FTo9U
HahaaaaaaaaX si hizo hapo kwa haraka nimeona zipo 3 hahaha mahesabu bhana nakumbuka pure advance
Lakini × sio nzuri mkuu tena omba mungu isiwekwe kwenye nyumba yako au watoto waone kwenye t.vNaamini hili jukwaa la tech wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.
UPDATES: HADI SASA HAKUNA ALIYEWEZA, CHANGAMKIA FURSA
View attachment 592794
Duu..hadi weweNgoja nigoogle kwa maana wengine hesabu tulipata mswaki
you are so wrongStupid maths, nadhani za kuhesabia pesa tu ndio zinansaidia mno kuliko hayo ma Algebra ambayo hayana mpango wowote katika maisha yangu, labda kama ningekuwa Engineer. Ila kwa BA hamna kitu kabisa
Naamini hili jukwaa la tech wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.
UPDATES: HADI SASA HAKUNA ALIYEWEZA, CHANGAMKIA FURSA
View attachment 592794
Mzigo huo hapo uki solve for y =0.8272(in 4 dec.places)Naamini hili jukwaa la tech wengi mnajua kucheza na namba, Zawadi ya kifurushi cha 1 gb mtandao wowote ipo kwa ataeweza hili swali na kuelekeza njia aliyotumia, ukiweza weka namba au nifate p.m unipe namba nikuunge 1 G.B mtandao wowote.
UPDATES: HADI SASA HAKUNA ALIYEWEZA, CHANGAMKIA FURSA
View attachment 592794
Weka namba yako kiongozi uungwe 1 gb, then ka vp piga picha kwenye mwanga wa jua huo mzigo maana kuna namba sizioni freshView attachment 593345
Mzigo huo hapo uki solve for y =0.8272(in 4 dec.places)
But tuli let y=1+x
So x=-0.1727
X haina thamani yeyote,Huwezi pata thaman ya X kwenye hilo swali labda ungesema tu solve tupate mlinganyo wenye degree kumi na zaidi hata calculator za hii nchi zina solve mwisho degree nne[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,ok wale wanao kumbuka advance algebra yale ma paschal triangle wajaribu maana expansion za hapo sio za kawaida
Mkuu wakati najaribu kuiandika upya ili ionekane fresh nikagundua kuna step nilichanganya sign so imefanya upyaWeka namba yako kiongozi uungwe 1 gb, then ka vp piga picha kwenye mwanga wa jua huo mzigo maana kuna namba sizioni fresh