kayuyuva D
Member
- Sep 1, 2017
- 16
- 6
Teh..teh..et Uncle atakumeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehehehe yaani duh, mbona yamenitendekea ya kihivi, kumbe... Aisei hawa wanawake hawa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Utaskia uncle atakuchinja![emoji818]
Upendo + moyoni Ukiwepo Amani Utawala mkuu.Hehehehe yaani duh, mbona yamenitendekea ya kihivi, kumbe... Aisei hawa wanawake hawa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hmm! Mkuu Mbona UliadimikaDaaah
majukumu mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hmm! Mkuu Mbona Uliadimika
salama mkuuWakuu salama lkn wana bodi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnh!Hapo lakini lazima nadharia ya jazwa ujazwe itatumika...Mwanaume hata awe na sura mbaya akiwa na pesa tunamuelewa sana tu.
Ndukiii
Hmm! Hata sura kama nyani mkuu mtamuelewa tu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Mwanaume hata awe na sura mbaya akiwa na pesa tunamuelewa sana tu.
Mbele ya pesa unaona kama unaongea na Brad PittHmm! Hata sura kama nyani mkuu mtamuelewa tu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15] [emoji3] [emoji125] [emoji125]