He must not mention God in adolescent bull shitJuzi kuna DC alisema mtoto aliyepata mimba hatarudi nyumban akimaanisha wao ndio watamuangalia, sasa hapo jiandae mkuu tena hii serikali ilivyo na sifa daaah!!!
Yaani ukienda huko ukirudi baada ya miaka 30 utakuta CHADEMA wanaongoza nchi na mtoto wako atakua ameshafunga ndoa kabisa!!
BTW Acha kumtaja Mungu kwenye mambo yako ya kipuuzi na kipumbavu!!
Watu kama nyie magufuli ndo anawatafutaga sasa umejileta mwenyew nakuhaidi lazima atalala na wewe mbelejaman nishaurini nifanyaje maana naona kama naenda kuozea jela.
hapa nilipo nimechanganyikiwa balaa, eeee Mungu nisaidie mie .
duh aiseeetatizo mimba ina miezi mitatu denti ndo anakuja kunipa taarifa na mimi nikiangalia step zangu zote naona im responsible.