Anselem mathew
Senior Member
- May 17, 2017
- 107
- 66
Wakuu habarini za kazi naomba msaada wa joining instructions ya Tukuyu school of nursing mwenye nayo anisaidie tafadhali
Ndio mkuu mbeya moja hiiMbeya hyo mkuu.. et
Ok.. but usisahau kubeba koti kubwa hadi magotini na bangeti la futi 20..Ndio mkuu mbeya moja hii
Hahahahahahaha hamna nouma hilo tu nitapambana na hali yanguOk.. but usisahau kubeba koti kubwa hadi magotini na bangeti la futi 20..
Ok..masterHahahahahahaha hamna nouma hilo tu nitapambana na hali yangu
Asant sana mkuu nitakomaa siangalii sura ya MTU na maneno ya kizushi nilikuwa na ndoto hizi kitambo sanaUkasome vizuri mkuu ujiandee kuhudumia wadanganyika wa khali zoote karibu katika tasnia hii ngumu kukubalika katika jamii kwa sababu ya wanasiasa