Niulize chochote kuhusu Mfamasia na madawa

Niulize chochote kuhusu Mfamasia na madawa

Ganciclovir 1gm tab ni INN au Brand? na kwa nini ziko bei juu sana? na zinapataikana wapi hapo Dar
 
Gharama za kufungua pharmacy kwa kawaida zinategemea vitu viwili sehemu eneo na ukubwa wa pharmacy unayohitaji!ukitoa gharama za frame gharma za mtaji wa dawa pekee zinaanzia 5m .
Kuhusu mfamasia: utahitajika kumuajiri mfamasia aliyehitimu na ambaye amekwisha sajiliwa na The pharmacy council of Tanzania.
Malipo kwa mfamasia itategemea na makubaliano yenu lakini kwa Dar es salaam ni wastani wa 1.2- 1.4m kwa retail pharmacy na 1.8-2m kwa wholesale pharmacy ..kwa mikoani gharama ziko chini kwa wastani wa 700k mpaka 1m
Watu wana pharmacy mpk milioni 3 kushuka chini mkuu

Si kweli kwamba kianzio ni million labda hiyo ni recommendations zako
Ukishakuwa na frame na kila kitu tayari dawa hazina gharama
Ishu nikuandaa frame na mahitaji take yote
Kuhusu dawa ata milioni mbili unajuza pharmacy otherwise unataka kuuza jumla jumla ila rejareja ela ndogo tu
 
Kuna tofauti kati ya Pharmacy na Duka la Dawa Muhimu (zamani baridi)

Kama unazungumzia DLDM ni sawa,lakini Pharmacy mara nyingi mtaji wake ni mkubwa

Pia hao wafamasia huwa wanataka uwalipe pesa ya miezi mitatu au sita.
 
Hivi mtu mwenye diploma ya env.Health anaweza kusoma degree ya phamarcy?
 
Kuna tofauti kati ya Pharmacy na Duka la Dawa Muhimu (zamani baridi)

Kama unazungumzia DLDM ni sawa,lakini Pharmacy mara nyingi mtaji wake ni mkubwa

Pia hao wafamasia huwa wanataka uwalipe pesa ya miezi mitatu au sita.
OK boss nimekupata
 
Habari!
Mmi ni mfamasia mzalendo niulizeni maswali yyte kuhusu pharmacy ,mfamasia na dawa
Aksanteni
Kazi za mphamasia ni zipi,yaani mpahamasia akimaliza anaweza akafanya shughuli gani???/hili swali wengi huwa hawanipi majibu ya kuridhisha
 
Kazi za mphamasia ni zipi,yaani mpahamasia akimaliza anaweza akafanya shughuli gani???/hili swali wengi huwa hawanipi majibu ya kuridhisha
Dispensing- kuwapatia wagonjwa dawa kitaalamu
Compounding-kuandaa dawa katika maabara ndogo ya hospitali kulingana na mahitaji mahususi ya mgonjwa
Manufacturing-kutengeneza dawa katika viwanda vya dawa
Management-usimamizi wa mfumo mzima wa ugavi wa dawa yaani ' drug supply chain'
Public health consultancy- kushirika ktika program mbalimbali zinazolenga kuboresha afya ya jamii
Research-utafiti wa dawa za binadamu
 
Habari!
Mmi ni mfamasia mzalendo niulizeni maswali yyte kuhusu pharmacy ,mfamasia na dawa
Aksanteni
hello
nimekua natumia gentrsone usoni kwa muda ,,kila nikiacha napata muwasho na uso unaharibikaa,,nifanyeje naona ishakua addiction,,,ila nkipaka uso unakua nyororo sana sema nimechoka nataka kuwa natural...
 
Back
Top Bottom