Recent content by Kavishei

  1. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hizi kemikali

    Unataka kujua nini hapo?? maana kemikali ushazijua na google ipo. [emoji16]
  2. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Rwanda wachungaji lazima wawe na vyeti vya kozi walizosomea
  3. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Definetly anataka kununua then baadae auze ili apate faida
  4. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hardware kwa mtaji wa mil.7

    Unaeza kuanza kidogokidogo, mfano ukaanza na vifaa vya umeme baadhi au vifaa vya plumbing au vingine vyovyote
  5. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya shisha

    Unajua madhara ya kutaja jina la hio shule hapa au umekosa cha kumjibu ukaamua kusema lolote??
  6. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kupata moto sana

    Kweli hizo ndio zinachangia simu kupata joto coz cpu inakua inarun many proceses at a time. Mi natumia app inaitwa "shutapp" kuzistop na imesaidia japo still nkirun apps nyingi kwa wakati mmoja especially zinazotumia internet huwa simu inapata moto.
  7. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Pesa za majini

    Santee
  8. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Pesa za majini

    Hii elimu ya pesa ndo ipi au inapatikanaje??
  9. Kavishei

    JamiiForums Tanzania IPI FACULTY NZURI CHUONI KWA SASA

    Soma kitu moyo wako utapenda unaeza kutafuta course na kusoma, ambayo wengi wamekushauri lakin mbeleni ukajikuta unatamani kuiacha kwasababu sio kitu unachokipenda. Pia kesho yako anaijua Mungu wewe hangaikia leo ambayo unayo.
  10. Kavishei

    JamiiForums Tanzania ushauri wa biashara

    Fuatilia fastjet bei zao
  11. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Tatizo la playstore kutodownload

    Inawezekana tatizo mtandao
  12. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

    Nakushauri ununue hii hapa Noah 10 ml
  13. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Kama una mdogo wako/ndugu yako/ama wewe hii inakuhusu.

    Huyo ambae hajajifunza/hajasoma hadi leo unadhani anayo nia ya kufanya mtihani kweli?? Sasa hivi ni muda wa kuongeza ujuzi kwa kufanya maswali mengi sio kuanza kujifunza
  14. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Hatimaye dawa ya HIV yapatikana Spain!

    Alipona AIDS then akaishi mda huo badae akafa kwa cancer sio AIDS
  15. Kavishei

    JamiiForums Tanzania Hatimaye dawa ya HIV yapatikana Spain!

    Duh! Blood transplant
Back
Top Bottom