Hatimaye dawa ya HIV yapatikana Spain!

Kaka ulisoma lakini hiyo habari yenyewe au uliwahi JF ili uwe wa kwanza kupost? Hawajapata dawa ila wanatumaini watapata. Sehemu ya habari inasema "While sadly the person later died from most cancers simply three years later, having developed lymphoma, the Spanish medical workforce continues to be massively inspired by what it considers to be a breakthrough within the struggle towards HIV and associated circumstances"
 
Alipona AIDS then akaishi mda huo badae akafa kwa cancer sio AIDS
 
Point yangu iko kwenye maneno haya " the Spanish medical workforce continues to be massively inspired by what it considers to be a breakthrough within the struggle towards HIV and associated circumstances"
 
Back
Top Bottom