Nataka kununua Alteza; ni bora ninunue KUPATANA au BE FORWARD?

Centepede

Member
Feb 13, 2016
42
22
Wakuu ninataka mwezi huu nipate kausafiri.. sasa nimeingia beforwad naona gari nzuri tu ila hata hii website ya kupatana naona Alteza afu bei nyepesi nyepesi. msaada wenu jamani
 
Wakuu ninataka mwezi huu nipate kausafiri.. sasa nimeingia beforwad naona gari nzuri tu ila hata hii website ya kupatana naona Alteza afu bei nyepesi nyepesi. msaada wenu jamani
Unayo pesa ngapi maximum?
 
Chukua hapahapa Dar, kwa fedha hiyo ukiagiza unatakiwa uongeza kama M tatu hapo hadi kuwa nalo mkononi, maana gharama za ushuru zimepanda. Alteza sio baya nimewahi kumikili ulaji wa mafuta ni wa kawaida inategemea na mizunguko yako maana CC yake ni 1980 hadi 2000.
 
Back
Top Bottom