Recent content by kau

  1. kau

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

    Nice idear...cha msingi tuwe tunapost vitu vya kueleweka....
  2. kau

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mbona mnalialia?kwani ninyi mmejipangaje!?! mkuu umenichekesha sanaaaaa....hapo bado kusema ....ndorobooo nn
  3. kau

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo CHADEMA wamemtoa Lowasa katika list ya Mafisadi wakubwa Tanzania waliyotutangazia?

    well said mkuu....nchi zetu hiz za kiafrika mtu asitegemee kuokolewa na chama cha siasa....
  4. kau

    JamiiForums Tanzania Ray C abadili msimamo kuhusu mwanaume wa kumuoa, asema wanaume wa mitandaoni hamna kitu

    Alafu inaonekana hayupo sirias.....
  5. kau

    JamiiForums Tanzania Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Kwanza kuna unatumia maji ya chumvi kuoga na sabuni za kawaida huo mba huwezi kutoka...mm nakushauri utumie sabuni za magadi na pia uwe unajisugua vizur kchwani unapooga.
  6. kau

    JamiiForums Tanzania Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

    mtaona baada ya muda wale ma DC wateule lazima waletwe redion..akina makonda na mboni...
  7. kau

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wife material ila hana hips

    Kwani hizo hips zinakusaidia nn wkt ushapima mashine ukaona iko poa....
  8. kau

    JamiiForums Tanzania Dhana kuhusu Ndimu au Limao

    hyo point ya kwanza cjaielewa .....
  9. kau

    JamiiForums Tanzania ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

    hongera...EATV nayo vp,itaonekana DSTV?
  10. kau

    JamiiForums Tanzania Mtoto asafiri na ndege kutoka Dar hadi Zanzibar bila ticket

    Mm nadhan huyo mtoto alisafir na ungo...
  11. kau

    JamiiForums Tanzania Serengeti Fiesta vs Kili Music Tour

    Hawajawai kugongana kwenye shoo ila zte zinafanyika katika mwez mmoja
  12. kau

    JamiiForums Tanzania Serengeti Fiesta vs Kili Music Tour

    Mm nashauri haya matamasha yangekua yanapishana kuanzia miez mitatu au minne
  13. kau

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova kuwapa simu albino sio ufumbuzi wa tatizo

    Weka picha
  14. kau

    JamiiForums Tanzania Kamata mwizi

    Habar zenu wana jamiiii... Naomba kufaham ni software gani ambayo unaweza install kwenye simu na kuweza kapata sms na location za mpenz wako bila ya yy kujua....?
Back
Top Bottom