Wewe wataka mke au mahips, you cant have both most of the time. Mimi nakushauri chukua mke hips zauzwa dukani...mchina kaleta chupi za mahips, kwahiyo zote uzionazo njiani sio original Big Lion
hivi hata wanawake nao wanatuchambua namna hii jaman?? mara hips mara tako mara figure cjui shepu, rangi, unene wembamba sura macho tumbo urefu nywele miguu lips kope nyusi maji, mnato imetumika kiasi gan nk.. tutafika kweli kama mtu akiwa na nyusi fupi tu anapigwa chini!
Watu wanaoana kwa sababu ya tabia,mienendo,mtazamo na fikra sanjali na utimamu wa akili siyo umbo..kwa sababu kuna leo na kesho,hujui hilo hips kalipata vipi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.