Recent content by kateli

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilisema kabla

    Hawajui wanataka nini utahonga kila kitu na bado utamegewa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli acha tunene wahaya ni kabila linalochapa kazi kwa uaminifu kabisa hapa tz

    Akili ya vipi au kujitumaje?Kagera si ungekuwa mkoa wenye maendeleo kuliko yote?Dada zenu ni wauza pap..chi maeneo mengi hata mmoja wenu humu amepost jana. Ni wasaliti nchi sana hao wamekaa kutafuta scholarship halafu hawarudi Tz kuendeleza taifa lao.Mwenye akili anatokomeza umasikini kwao sio...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana ya mungano.

    Ndio maana ilimchanganya Mulugo.Tunataka Tanganyika yetu.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wameadhibiwa na dunia...

    Kuchapiwa siri ya ndani.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ubunifu kwenye short call

    Itakuwa nchi za kihindi tu na tabia zao,india,Nepal,Bangladesh n.k
  6. K

    JamiiForums Tanzania Unaelewa kazi halisi ya kundi hili?-The knights of Malta

    Ngoja nigoogle.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnahitaji nini hasa kwetu wanaume.,?

    Kile kitu ambacho huna na huwezi kuwa nacho ambacho mwanaume mwenzio anacho.Hicho ndicho anataka.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuchukia mtu bila sababu

    Unaweza kujikuta kuna mtu unamchukia bila sababu na yeye pia anakuchukia.Yaani mnachukiana bila sababu na hamko compatible kabisa ila mnakutana kila wakat.Hamuongei mengi labda ya lazima au endapo kuna mtu kati. Hivi huwa ni nini?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kweli Ulevi Noma:- Je unakumbuka ni noma gani ulilolifanya baada ya ku over drink?

    Boss alituongezea mishahara baada ya kumchana live nikiwa bwax kuwa mshahara mdogo.Ningekuwa na sound mind nisingeweza.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

    Shark O'Neill na Nicola.Will smith na Jada Pinket.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Tatizo la maji na barabara za mitaani jimbo la ubungo tangu nimezaliwa na kukua haliishi.Hakuna cha wabunge wa chama chochote wote hawajafanya kitu.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

    Siku hizi kumekuwa na ubaguzi wa kimo/height cha mtu yale ya rangi na dini yanapungua. Wanaume kwa wanawake katika nyanja nyingi,Kazi,mapenzi,siasa,Urafiki,sanaa na michezo wamekuwa wakibagua na kubaguliwa. Mapenzi;Mfano humu utasikia natafuta me/ke lakini awe na urefu wa ..... Jeshi pia kimo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Vannesa Mdee ana nini na mimi?

    Mi pia moja wapo.Napenda sana videmu vinavyomwaga ung'eng'e,yule dada seven sijui yuko wapi,Vanessa mdee, na jokate du.she..le..le husimama mpaka naomba mma ila lile la nivana sijui linani lile halipendezagi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Walioitwa Kwenye Interview Akiba Commercial Bank

    Nashangaa hata mimi afu e-mail yao inazingua haziendi.
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi sauti ya mwanaume nayo ni kigezo cha kupendwa na mwanamke?

    Ndio maana dj fetty kamzimika Geez mabovu.
Back
Top Bottom